U-marioo wa kina kaka unawafedhehesha

Hao marioo wanalelewa na wanawake wenyewe, lawama za nini? Sitisheni ufadhili
 
Uzuri ukiwa marioo utapendwa zaid kuliko ukiwa muongaji mnk...jinsi unAvyozid mforce mtu akugharamikie ndo jinsi unavyozid kuuteka moyo wake kinguvu...ndo mana marioo wengi wanapendwaga sn...siwezi tumia mbinu hii yA kua marioo lkn najua...ni very powerful...vijana wenzangu msio na kazi tumieni mbinu hii itawabeba sn mpk hapo mtakapo pata kazi...na khs kutembea na mzee ni umalaya kiasili ...mwanamke aliyelelewa vzr hwz vua nguo kwa babu wa miaka 60...huyo wa hvo utakuta ht mama ake na baba ake ni malaya
 
Back
Top Bottom