Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,778
Wewe na girlfriend wako wote ni wanafunzi alafu unambiguous mzinga wa laki mbili binti wa watu inategemea atazitoa wapi? Ukisikia kuna jibaba la TRA linaghramia eti unamwita malaya hii ni sawa kweli?
Wote mnafanya kazi, kisa binti hajakuomba pesa na anajipenda mambo ya designer handbags na make up na wewe unaomba mkopo wa mil5. Mara nyingi wanaume wa aina hii si waowaji na kama akitokea kukutamkia ndoa basi utamlea kwa shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe.