unatania wewe? kati ya wote hao, bora hata Mwamvita makamba. wengine ni ***** tu
Sijajua mleta mada ametumia vigezo gani lakini naona kwanza matumizi ya computer yanamshinda maana majina mengine yapo kwenye picha za wengine.Lakini all in all hakuna mwanamke influential kati ya hao maana wote hapo nasema tena wote hapo hakuna aliefika alipo bila kushikwa mkono.So if that was the case why Sophia Simba is not in the list? Wengine watoe bwana mfano Mange, Venesa Mdee, sijui Makamba Mwamvita toa toa wote hao
Si useme tu unamuongelea Mange.
Hivi huyu manje ndiyo Natalia wa JF nini?:lol::lol::lol::lol::lol:
Sijajua mleta mada ametumia vigezo gani lakini naona kwanza matumizi ya computer yanamshinda maana majina mengine yapo kwenye picha za wengine.Lakini all in all hakuna mwanamke influential kati ya hao maana wote hapo nasema tena wote hapo hakuna aliefika alipo bila kushikwa mkono.So if that was the case why Sophia Simba is not in the list? Wengine watoe bwana mfano Mange, Venesa Mdee, sijui Makamba Mwamvita toa toa wote hao
Ombi lako naona limefanyiwa kazi,sophia simba kapachikwa baada ya mama maajar anafuatia yeye na picha yake iliyotumika ni hii...sema kingine