Ebwanandio
Member
- Aug 23, 2019
- 48
- 63
Habari za majukumu waungwana,
Kuna kitu huwa najiuliza sana kuhusu engine zenye Twin Turbo (Turbo mapacha au turbo mbili) huwa zinafanyaje kazi, nimejaribu kuchimba hadi google nmepita youtube lakini bado sijaelewa vizuri. Huwa zinafunguka kutokana na nini? Ni RPM? Au ni speed? Au nini. Naomba kwa wajuzi wa kitu wanielimishe.
Natanguliza shukurani.