Twin turbo zinafungukaje

Ebwanandio

Member
Joined
Aug 23, 2019
Messages
47
Points
125

Ebwanandio

Member
Joined Aug 23, 2019
47 125
Habari za majukumu waungwana, kuna kitu huwa najiuliza sana kuhusu engine zenye Twin Turbo (Turbo mapacha au turbo mbili) huwa zinafanyaje kazi, nimejaribu kuchimba hadi google nmepita youtube lakini bado sijaelewa vizuri...huwa zinafunguka kutokana na nini? Ni RPM? Au ni speed? Au nini. Naomba kwa wajuzi wa kitu wanielimishe, natanguliza shukurani.
 
Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,035
Points
2,000

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,035 2,000
Ngoja nikupe jibu kuhusu meli endapo utawasha injini kama ina twin turbo ukiwasha turbo zote zinakuwa zinafanya kazi.

Kufunguka ni pale wewe unaposikia mlio kama mluzi endapo injini imefikia RPM kubwa.

Jibu sahihi ni turbo inafunguka pale unapowasha injini maana inazungushwa na hewa itokayo kwenye exhaust.
 
Asante mkuu kwa maarifa yako, yaweza kuwa hakuna tofauti kwenye engine ya meli na za magari.
 
Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,035
Points
2,000

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,035 2,000
Asante mkuu kwa maarifa yako, yaweza kuwa hakuna tofauti kwenye engine ya meli na za magari.
Hakuna tofauti, inabidi ujue turbo inaanza kufanya kazi pale tu injini inapowashwa. Huu msemo wa turbo inafunguka baada ya gari kukimbia au kuongezeka mzunguko wa injini ni nadharia zetu waswahili katika story.

Twin turbo zikiwekwa katika injini moja zinaweza kuwekewa tofauti ya muda katika kupeleka hewa safi kwenye chumba cha mlipuko (Combustion chamber) baada ya hewa chafu kusafishwa kuwa safi na kupozwa kwenye intercooler.
 
Ebwanandio

Member
Joined
Aug 23, 2019
Messages
47
Points
125

Ebwanandio

Member
Joined Aug 23, 2019
47 125
Hakuna tofauti, inabidi ujue turbo inaanza kufanya kazi pale tu injini inapowashwa. Huu msemo wa turbo inafunguka baada ya gari kukimbia au kuongezeka mzunguko wa injini ni nadharia zetu waswahili katika story.

Twin turbo zikiwekwa katika injini moja zinaweza kuwekewa tofauti ya muda katika kupeleka hewa safi kwenye chumba cha mlipuko (Combustion chamber) baada ya hewa chafu kusafishwa kuwa safi na kupozwa kwenye intercooler.
Asante mkuu nmeelewa sasa.
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,010
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,010 2,000
Hakuna tofauti, inabidi ujue turbo inaanza kufanya kazi pale tu injini inapowashwa. Huu msemo wa turbo inafunguka baada ya gari kukimbia au kuongezeka mzunguko wa injini ni nadharia zetu waswahili katika story.

Twin turbo zikiwekwa katika injini moja zinaweza kuwekewa tofauti ya muda katika kupeleka hewa safi kwenye chumba cha mlipuko (Combustion chamber) baada ya hewa chafu kusafishwa kuwa safi na kupozwa kwenye intercooler.
Mkuu kuna point umeikosa kidogo hapo. Msemo wa turbo kufunguka unamaanisha pale turbo inapoanza kuleta hewa zaidi kwenye engine. Unapowasha engine kama RPM ni kidogo, turbo japo inazunguka ila inaongeza nguvu kidogo saana (insignificant) kwenye engine. Ila kwenye RPM kubwa, hewa inayotoka kwenye exhaust inakuwa nyingi pia so inaweza kuzungusha turbines za turbo kwa kasi zaidi na hivyo kuongeza hewa safi na nguvu zaidi kwenye engine. Kueleza kirahisi hii concept, gari huwa linatoa moshi zaidi pindi "ukipiga resi" kuliko likiwa silence. So unapopiga resi inamaana rpm inapanda na hewa chafu inatoka kwa wingi hivyo turbines za turbo zinazunguka kwa nguvu zaidi pia na kusababisha hewa nyingi kuingia kwenye engine. Hapo ndio tunasema turbo imefunguka.
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
3,037
Points
2,000

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
3,037 2,000

Safi kabisaa
 
Kwahiyo kwa lugha nyepesi turbo kufunguka inategemea na RPM?
 
Sahihi kabisa mkuu.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,968
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,968 2,000
Habari za majukumu waungwana, kuna kitu huwa najiuliza sana kuhusu engine zenye Twin Turbo (Turbo mapacha au turbo mbili) huwa zinafanyaje kazi, nimejaribu kuchimba hadi google nmepita youtube lakini bado sijaelewa vizuri...huwa zinafunguka kutokana na nini? Ni RPM? Au ni speed? Au nini. Naomba kwa wajuzi wa kitu wanielimishe, natanguliza shukurani.
 
charldzosias

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Messages
1,430
Points
2,000

charldzosias

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2013
1,430 2,000
Kwa experiance yangu Twin-turbo huingiza hewa katika engine.. ili kutoa performance nzuri katika engine husika... kwa wale wazee wa Drag race.. ukubwa wa engine unasababisha turbo kupeleka hewa kwa wingi baada ya kuzunguka kwa crankshaft kwa muda mrefu.. mfano kwa ARISTO 2JZGTE... turbo inatoa assistance ya kuingiza hewa automatically pale engine inapotaka hewa hiyo through manifold attached pipes..

so turud katk mada.. TWIN turbo zipo kwa both cars.. (GASOLINE or Diesel cars) kuna pia BI-Turbo YALEYALE tu ya twin turbo but kuna kautofaut kidg sana........ sasa kipimo cha Perfomance yaturbo husika inapimwa kwa PSI (Pounds per Square inch) Ambayo inasukumwa katika kila turnel ya cylinder husika...

inashauriwa kutumia Turbo moja... kwani ni more quicker than twin of them,.... in additional

KUFUNGUKA kwa turbo.. kupo... na kunahusisha rpm pia... kwa sisi wazee wa mbio kuna KITU KINAITWA (TURBO TIMER)

nisiwachoshe sana...... kwa kupata vionjo vya turbo.... mnaweza kutumia ipasavyo BOV(blow off valves) or wastegate.... sounds.........(Psyuuuuf...........)
 
Forum statistics

Threads 1,355,744
Members 518,732
Posts 33,117,668
Top