Twin sisters

Twin sisters

we ulitakaje?listen your heart.story fake.
 
Bahati haiji mara mbili.....kula mzigo baba, hakuna madhara.
 
Ukiendelea hiv unaweza kuwa mtunzi mzuri wa hadithi, unakipaji kaka kiendelezee
 
Natamani kubadilisha akili yako ila shetani ameshakujaza mihemko ya mapenzi unajidai umekwama.... Kawa wewe ni mwanaume uliyekamilika fanya uamuzi wa busara..................................
 
Yaani ww unaoa na bado unawaza kuchepuka..sasa unataka uoe ili iweje.?sifa??? Badae tarudi kukushauri!!!!!!
 
Kwa hao wote mahali ni ile ile au inaongezeka? Uliza hilo uje utupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom