Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
mwenyekiti wa simba anatarajiwa kuwasili leo kutokea nje ya nchi, wanasimba wote wenye mapenzi mapema na timu yetu mnaombwa kuhudhuria ujio huu wa mwenyekiti, msafara wa kuelekea airport utaanzia klabuni pale msimbazi , na kuna sare maalumu mtakazopata pale klabuni, au vaa jezi yako nyekundu!! punde baada ya kuwasili Rage ataongea na waandishi wa habari na kujibu maswali ya waandishi then ataelekea klabuni kutoa tamko zito!!
ikumbukwe bodi ya wadhamini imekataa na kupinga mapinduzi hayo, na kaimu katibu wa TFF ndugu Wambura naye amesema kina Itangire wamekosea sana kumpindua bwana Rage.
ikumbukwe bodi ya wadhamini imekataa na kupinga mapinduzi hayo, na kaimu katibu wa TFF ndugu Wambura naye amesema kina Itangire wamekosea sana kumpindua bwana Rage.