Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,404
- 36,536
Kuelekea mechi ya jana Hajji alikuwa anawaaminisha mashabiki wa Simba kuwa watashinda kwa magoli mengi sana,na kwasababu mashabiki wengi ni mbumbumbu (nikimnukuu mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage),wakawa wamekuja uwanjani kwa kujiamini sana na matokeo mfukoni.
Mpira hauchezwi kwenye media wala magazetini,kilichotokea jana kuongoza mbili na zote kurudi ndani ya muda mfupi kimeanza kuleta fukuto huko Msimbazi.
Hajji kupitia ukurasa wake wa Instagram amewananga wachezaji wao kwa matokeo yale na kuonyesha hasira kuwa kuna baadhi ya wachezaji walicheza chini ya kiwango na hawakuitendea haki jezi yao
Kuna jambo zuri linakuja soon,kuna wachezaji siku zimeanza kuhesabika pale klabuni baada ya mechi ya jana.