Twendeni kanisani

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
970
Reaction score
2,360
Leo ni siku nzuri sana ❤️

Jumapili njema yenye kupendeza,nawakumbusha Baba, mama,kaka,dada zangu.
Lakini na wadogo zangu pia.

Twendeni kanisani (wakristo)
Ni utaratibu mzuri,unaotukumbusha kufanya Yale yanayompendeza Mungu,

Starehe zote ni ubatili hakuna jipya,niwashukuru wazazi wangu Kwa kunikumbusha na kunihusia kuwa karibu na mungu.hivyo nitumie nafasi kuwakumbusha wanajukwaa hapa.

Ahsanteni
 
Ubarikiwe Dada
 
Ibada muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…