Twende kazi

Twende kazi

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
283505_281213705330416_367175031_n.jpg
 
Mmmh...kitu cha ugali wa uwele hicho,mtamu kama sukari wakati mwingine hata mboga huhitaji....
 
Kwa mboga ninavyoiona hapo bila kuwa na masharti ya kula basi ugali hauishi.
 
Huu msosi nafikiri ulikua maalum kwa ajili ya kupigia picha hawajakaa mkao wa kula kabisa bora hata uyo mkubwa anajua kuzuga kakunja ngumi kama ana tonge mkononi
<img src="http://sphotos-b.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc6/283505_281213705330416_367175031_n.jpg" border="0" alt="" />
<br />
<br />
 
umenikumbusha mbali sana, kwetu ndo ugali wetu
 
Na pilipili ndani ya mchuzi ili watoto washindwe kuumaliza haraka!
 
Back
Top Bottom