Yaani hapo ukimega tonge unaliweka pembeni lipoe kidogo.ugali kukaa juu ya masinia mawili ni ili ugali usimwagike chini au?
Mwendo ni kurumagia hapo. Kitu cha mtama hicho.Ugali 'mlima' !!
Tatizo mboga !!!
Ahahahah..mkuu steers hawapiki kweli?Udenda ushanitoka daaah!
ahahahah..mkuu STEERS hawapiki kweli?Udenda ushanitoka daaah!
Ndo mana watoto wadogo wanavitambi
Ahahahah..mkuu steers hawapiki kweli?
Mpwa mbona ugali mwingi mboga kidogo? Si tutagombana hapo!
vita ni vita mura.
mi nimeona hiyo sahani kama ni sinia.......ila swali liko palepale...kwanini zimewekwa moja juu ya nyingine?