thanks the bossramadhan kareem
ahsante sana,it means a lot to me, wana jf kwa kujaliKwa wale wote watakaofanikiwa kufunga katika mwezi huu wa Ramadhan unaoanza leo nawatakia mfungo mwema na sala zenu zote za yale myatakayo katika maisha yenu zijibiwe.
Ramadhan njema.