Inshallah kwa waislamu wote yaaarab! mwenyezi mungu atutakabalie towba zetu na atupe swaum yenye amani furaha na kheir.RAMADHAN MUBARAK.

Vp wadau mwezi umeonekana wapi hapa tanzania?mwenye taarifa atuwekee jamvini,huko nchini oman umeonekana.tzania tupeni taarifa.

kwa wale wote wafungao na tunamuomba Allah atujaalie tuwe ni wenye kufikia lengo kwa haya masiku machache.

Kwa wale waislamu mwezi wa kuvuna thawabu kwa wingi ndio umeingia.

Nawatakia woote Rmadhani njema na nawausia wajitahidi wautumie

mwezi huu vizuri ili wafikie makusidio yake.

Pia wasi sahau kuiombea nchii hii izidi kuwa na umoja na amani na

iondokane na matatizo mbalimbali

iliyonayo.

Ramadhani L-kariim!