issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
wafanyakazi wa tv1 wanafanyakaz kazi gani?maana sioni zaidi ya vipind vinne tu kwa siku nzima muda mwingine uliobaki ni kfs sasa wanapoteza wateja watazamaji sababu wengi wetu tulipenda vipindi ambapo kwa sasa havioneshwi kama vile nafsi.