TV flat Samsung na ulaji wa umeme

TV flat Samsung na ulaji wa umeme

Wakuu Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Nyumbani nimenunua flat TV ya 50" tangu ninunue matumizi ya umeme yameongezeka maradufu yaani unit 5-6 kila siku zimeongezeka kwenye matumizi. Tatizo nini Wakuu wenye uelewa msaada tafadhali.

NB:wenye Povu hapa sio Mahala pake
Hiyo tv hua ina seting fulani ya kupunguza kula umeme mkubwa.na ukishaiset utaona hata mwanga wa tv unapungua kidogo,ilinitokea hiyo ila wife ni mtundu mtundu ndo aliweza kuirekebisha kwa kuifanyia setings fulani hivi.fanya hiyo seting utaona hali ya umeme kwenda na matumizi makubwa itabadilika
 
mkuu kuna hizi tv wanaita STAR X, ziko vipi nazo kiubora?
mkuu mimi huwa kawaida yangu sishauri watu kununua vitu ambavyo hata kampuni husika haijulikani inatoka wapi, wamiliki ni nani, viwanda vipo wapi, makao makuu yapo wapi etc.

tv nunua brand nzuri LG, Samsung etc na kama budget hairuhusu tafuta mchina mstaarabu mfano TCL utapata warranty, ikiharibika utatengenezewa, na pia utapata support nzuri. TV kama TCL unapata smart tv hadi 450,000 kwa 32inch.
 
asante
 
Even yangu ni LG hadi naigopa kuiwasha kipindi cha ovyo ovyo.. pia inapata joto balaa nilishaifungua nikakuta capacitor zimevimba nikajua sababu hiyo nikazibadilisha lakini wapi ikawa in awali kuwaka vizuri nikipata mtu namuuzia faster kwanza haina USB but ina hdmi.. huyo mdau aliyesema kuhusu settings ukiziset inakula kidogo umeme yupo sawa ila inapunguza tu kiasi ulaji wa umeme nilishafanya. Kutoka kula unity 2 hadi moja kutizama tv kwa masaa sita
 
Dah kama nilivyofikiria ni kitu cha plasma, hazitengenezwi tena hizo mkuu na wamekukamata. Ukiiwasha matumizi ya kawaida inakula 330 watts hivyo haifiki hata masaa 3 unit moja imekata.

Ushauri wangu irudishe ikiwezekana ongeza hela tafuta tv ya led,

Pia hizo tv ni bei rahisi sana, zinakuwa hadi laki 6 hadi 8 kwa hio 50 inch, na kioo chake ni 720p ambacho sio kizuri kwa ukubwa huo,
Hatari sana mkuu
 
Hiyo tv hua ina seting fulani ya kupunguza kula umeme mkubwa.na ukishaiset utaona hata mwanga wa tv unapungua kidogo,ilinitokea hiyo ila wife ni mtundu mtundu ndo aliweza kuirekebisha kwa kuifanyia setings fulani hivi.fanya hiyo seting utaona hali ya umeme kwenda na matumizi makubwa itabadilika
Kwa kumsaidia mtumie number za wife Wako tafadhari
 
Kumjibu mjinga Mara zote kunahitaji busara sana Ngoja Nitumie busara
yaani hapa JF kuna watu wamesetiwa kama robot wako tayari kwa ajili ya kutoa majibu negative kwa thread yoyote ile hata iweje, so members kama hawa usiwachukulie serious sana, na umefanya vyema kumkataa.
 
Dah kama nilivyofikiria ni kitu cha plasma, hazitengenezwi tena hizo mkuu na wamekukamata. Ukiiwasha matumizi ya kawaida inakula 330 watts hivyo haifiki hata masaa 3 unit moja imekata.

Ushauri wangu irudishe ikiwezekana ongeza hela tafuta tv ya led,

Pia hizo tv ni bei rahisi sana, zinakuwa hadi laki 6 hadi 8 kwa hio 50 inch, na kioo chake ni 720p ambacho sio kizuri kwa ukubwa huo,
utajuaje kama hii plasma au led? wanakuwa wameandika sehemu hii itatusaidia wengine tukienda kununua tusupigwa kama mdau wetu hapa
 
hongera mkuu kwa kununua flat tv,ahsant kwa kutufahmisha maan unaangalia mda mrefu hadi wapangaj wenxako wanalalmik luku
 
mkuu mkwawa miye pia nina mdubwasha THOMSON (TV) HAUNA CHOGO wenyewe pekee ukiuwasha kwa siku ynakula hadi unit 6 kwa muda wa masaa 2tu
hiyo tv ni janga la taifa asee, na usawa huu wa magu
 
Back
Top Bottom