Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
huwa wanaandika mbele kwenye tv, pia unaweza chukua model ya tv ukai google kuangalia specs.utajuaje kama hii plasma au led? wanakuwa wameandika sehemu hii itatusaidia wengine tukienda kununua tusupigwa kama mdau wetu hapa