BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Tuzo za Grammy zinaheshimika sana nchini Marekani. Host wa show alikua mzee mzima mwenyewe, L. Cool J. Walioshinda ni wengi kdogo na category ni nyingi kidogo ila hapa nimejaribu kuwaweka wale maarufu.
Record of the year amechukua Mark Ronson ft Bruno Mars 'Uptown funk',
Album of the year kachukua mdada taylor swift, '1989', na pia kachukua tuzo ya best music video, "Bad Blood".
Nyimbo bora ya mwaka imeenda kwa Ed Sheeran, 'thinking out loud', Mzee mzima Kendrick Lamar kachukua tuzo 5,ambazo ni, Best rap album, best rap collabo, best rap song, best rap performance. Kama namuona Kanye West na Drake walivokunja mdomo!
Anyway, Best world album amechukua mwanamama na legend wa kitambo Angelique Kidjo. Pia kwa wapenzi wa reggae, Best reggae album imeenda kwa Morgan Heritage.
Nafikiri Adele na Justin Bieber watawaweka katika tuzo zijazo ama zinazokuja na nna hakika watachukua sana maana nyimbo zao zilizohit kama Hello na Sorry aka Soree zilichelewa kutoka nafkiri ndo mana wametoka patupu... Kwa Drake na wenzie asee wajipange..Kendrick yupo vizuri kwa sasa.
Ni hayo tu!! Pamoja Sana.