Tuzo za Grammy 2016 hatimae zatoa washindi.. Bieber, Kanye, Drake, Adele, watoka patupu!

Shabiki wa kupiga, ua, garagaza wa kanye. Sipendi attitude yake nje ya music na kwenye media ila musically jamaa ni genius
Hahahahaa I knew it.

Sasa mimi napishana na wewe hapa,first time nilikuwa shabiki wake,ila attitude yake nje ya music ikanifanya nimchukie sanaaaa.

Kuna uzi wanadai jamaa kawa broke,nimekuita unipe ufafanuzi kidogo.
 
Ha-ha najaribu kutohusisha maisha ya mtu yeyote na Kazi yake.

Kama kawaida ya outspoken West alidai yupo in debt ila sio deni halisia, alichomaanisha Ni kwamba zile projects zake za fashion anazi-fund mwenyewe toka mfukoni mwake bila wadhamini hivyo anatumia pesa nyingi sana kiasi cha kufikia 53mil USD. Bdae alisema yeye personally ni tajiri na mke ni tajiri ila hawezi kuwa na nguvu ya kuendelea kama hatopata sponsors ndio hapo akamtaka zuckerberg wa FB amchangie.

Yale manguo yake kama madekio sijui nani atamchangia!!
 
Hahahahahaa mkuu umenichekesha sana.
Kweli yale manguo yake hata mimi huwa najiuliza sana,sijawahi kuvutiwa na hata moja!

Hivi anazibuni mwenyewe?Haoni kama ni mbaya?Au ndio analeta ugumu wake hadi kwenye nguo?
Bora angekuwa ana design za kuvaa yeye mwenyewe...
Anapata wateja kweli?Maana hata huwa sifuatilii.

Ni vyema kuwa unique ila zile zake zimezidi!
Hata Kim hamuambii kuwa ni mbaya?
 
Kanye ni bonge ya egoistic sijui kama anashaurika. Viatu vile yeezy vinauzika sana mwaka jana kaingiza 22mil USD from viatu ila yale manguo sijui kama kuna mtu ananunua kama yupo labda kichwani hayupo sawa.

Concept yake ni kwamba kuna beautifulness kwenye ubaya. Kama umesikiliza hii album yake aliyorelease juzi TLOP ipo kwenye msingi huo huo, ni a beautiful mess. Inahitaji uwe fan wa Kanye au uwe na sikio la tofauti la mziki ili kuipenda maana sio kama album zingine unazosikiliza kila siku. Kuna watu wameipenda sana na wengine wameichukia ila reviews so far sio mbaya.
 
kwenye rock Walioshinda (Alabama shakes) wako poa sana. hapa nairudia ngoma yao ya future people na sichoki.
 
Pole hufuatilie game otherwise usingeandika Hii comment yako.
1455900618757.jpg

Wewe mjua game leta ushahidi wa madai yako vinginevyo piga kimya
 
Sikiliza "Control" ngoma yake Kendrick. Tatizo hufatilia game basi. Hiyo Kuwa anatoka Compton na slikuwa inspired na 2Pac inajulikana sana tu.
Control ni wimbo wa Big Sean featuring Lamar. Hakuna ujualo unataka ubishi usio na maana. Nimemaliza
 
Ndio maana nasisitiza tena na tena hufuatilii game. Unabisha kuwa control sio wimbo Wa Kendrick. Hiyo sio Duet hiyo ni Featuring. Vipi bad unabisha kuwa Kendrick so King Wa NY!? Au umeamua kuipotezea?
 
Unajua hata maana ya duet na featuring? Mambo mengi sana hujui wa jamaa
 
Hivi kwani KENDRICK LAMAR huwa anakipi cha zaidi kuwashinda rappers wengine mfn Tyga, Lil Wayne, Travis Scot, Big Sean.

mbona SIELEWI
UANDISHI MKUBWA

KWENYE UANDISHI WA MASHAIRI KENDRICK LAMAR HAO WATU HAWAMKUTI HATA KIDOGO

SIE WATANZANIA KWAKUWA LUGHA YA KIINGEREZA NI SECOND LANGUAGE YETU HIVYO BAADHI YA WATU LYRICS ZA KENDRICK LAMAR HUWA HAWAZIELEWI

KINA TYGA, BIG SEAN , TRAVIS SCOT , NA LIL WAYNE NI FLOW TU ILE NDIO TUNAIPENDA
NA AINA YA BEATS
BASI

ILA KWENYE SWALA LA UANDISHI KENDRICK NI MASHINE NYINGINE

NDIO MAANA HATA BEATS ZAKE NI ZA KAWAIDA SANA ILA SASA MSIKILIZE ANACHOIMBA NDIO UTAJUA KUWA JAMAA NI NOMA
 
Jb nimesikia amechukua nyimbo flan hivi haijahit kabisa huku..wacha nigoogle for more info

ETI NYIMBO HAIJA HIT INGEKUWA HAIJAHIT INGECHUKUA GRAMMY?

AU KWAKUWA HAIPIGWI NA MA DJ WENU KINA DJ ZERO, DJ KIM NA DI OMMY CRAZZY?

SASA SIKIA NIKUPE DARASA
JB AMECHUKUA NA NYIMBO ALIYOSHIRIKISHWA NA MA DJ BORA DUNIANI KWA SASA

SKRILLEX NA DIPLO

SKRILLEX NA DIPLO WANA KUNDI LAO LINAITWA JACK U

TATIZO MNAMJUA DAVID GUETA TU

NA MTU KAMA SKRILLEX KILA MWAKA ANACHUKUA GRAMMY

NA HAO SIO WATU WA KAWAIDA

HII NYIMBO YAO NYINGINE INAITWA

TAKE YOU THERE

CHEKINI LIVE SHOW ZAO I HOPE

HAMTAICHOKA

DIPLO NDIO MWENYE KUNDI LA MAJOR LAZOR WENYE NYIMBO INAYOITWA LEAN ON HII WABONGO WANAIJUA SANA

Mkuu shukrani nilipitia nikaona hii pia...

Noma sana ahsante kwa nondo za ziada!
 
UANDISHI MKUBWA

KWENYE UANDISHI WA MASHAIRI KENDRICK LAMAR HAO WATU HAWAMKUTI HATA KIDOGO

SIE WATANZANIA KWAKUWA LUGHA YA KIINGEREZA NI SECOND LANGUAGE YETU HIVYO BAADHI YA WATU LYRICS ZA KENDRICK LAMAR HUWA HAWAZIELEWI

KINA TYGA, BIG SEAN , TRAVIS SCOT , NA LIL WAYNE NI FLOW TU ILE NDIO TUNAIPENDA
NA AINA YA BEATS
BASI

ILA KWENYE SWALA LA UANDISHI KENDRICK NI MASHINE NYINGINE

NDIO MAANA HATA BEATS ZAKE NI ZA KAWAIDA SANA ILA SASA MSIKILIZE ANACHOIMBA NDIO UTAJUA KUWA JAMAA NI NOMA
DUUUH, itabidi niwe na dictionary pembeni nikiwa namskiza Kendrick Lamar
 
Back
Top Bottom