Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 10,637
- 21,050
Labda niulize kama wewe ndiyo ungekua mtoa tuzo ungempa ASAP tuzo ya nini? Nini kafanya cha maana mwaka jana, kama features kila msanii ana featureWhat about ASAP rocky. ?
Labda niulize kama wewe ndiyo ungekua mtoa tuzo ungempa ASAP tuzo ya nini? Nini kafanya cha maana mwaka jana, kama features kila msanii ana featureWhat about ASAP rocky. ?
Naamini ni mzuri ila sio kwa kiwango anachoongelewa. Pili hana upinzani mkali only J.Cole, Drake and Nicki closed in on him hivyo Ilikuwa wazi kwamba angetawala upande wa Rapkendrick lamar is overrated
Naskia Akina Justin Bieber na Kanye hawajabeba hata moja... hata Brown pia hajachkua...
Teh teh..Wamempendelea shosti yako..Meghan ni new artist??Umemtaja Meghan trainor ikabidi nijiburudishe tu na "Dear future husband na my selfish heart
Kendrik yule broo mpaka nakosa cha kusema...Kendrik Lamar sio mtu mzuri
Yeah nafikiri bado ni mpya mpya kwenye industry, me nimeanza kumsikia last yearTeh teh..Wamempendelea shosti yako..Meghan ni new artist??
Hehe...phillipines kumbe unamuelewa meghan piaUmemtaja Meghan trainor ikabidi nijiburudishe tu na "Dear future husband na my selfish heart
Hivi kwani KENDRICK LAMAR huwa anakipi cha zaidi kuwashinda rappers wengine mfn Tyga, Lil Wayne, Travis Scot, Big Sean.Jb nimesikia amechukua nyimbo flan hivi haijahit kabisa huku..wacha nigoogle for more info
Sidhani kama alistahili hiyo category mana last year alikuwa nominated pia..Yeah nafikiri bado ni mpya mpya kwenye industry, me nimeanza kumsikia last year
Yeah namuelewa vizuri tu. Haya ngoja nisikilize lidedication langu mieHehe...phillipines kumbe unamuelewa meghan pia
So "am gonna love you like am gonna loose you" feat John goes to you
Hao nominees wengine hata sijawahi kuwasikiliza, so honestly sina comments kabisa hapoSidhani kama alistahili hiyo category mana last year alikuwa nominated pia..
Hahaa...kabla ya mistari hiyo kuna hii sasaYeah namuelewa vizuri tu. Haya ngoja nisikilize lidedication langu mie
So Let's take our time to say what we want
Use what we got, before it's all gone
No, we are not promised tomorrow
Ooh yeah nimepapata vizuri mfilipinoHahaa...kabla ya mistari hiyo kuna hii sasa
So i'l kiss you longer baby,
Any chance that i get
I'll make the most minutes
And love with no regreat
So let's take our time to say what....