Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Yaani wewe hii I'd yako tu ni tusi unajua? Afu I'd 10 ni sawa na kumtukana invisible kuwa hajui kukudhibiti. Sema suu nibeonye abyuzi
Yaani hata mimi,sijawahi kulambwa ban kwenye ID zangu zote kumi!

Ila nimewahi kugombana na jamaa mmoja hivi,nadhani Lizzy anakumbuka... Alinikorofisha sana... Ila sikutumia matusi ya ndani ya nguo!
 
Yaani wewe hii I'd yako tu ni tusi unajua? Afu I'd 10 ni sawa na kumtukana invisible kuwa hajui kukudhibiti. Sema suu nibeonye abyuzi

Eheheheheh umenchekesha eeeh.. Dah ningekua natumia ""LAMTONGA" ningekugongea like.. Eti sema suuu
 
Tafadhali msiwahonge mawakala!!!Nahisi kama ntatangazwa baada ya muda mfupi!!!!
 
jamani habari ya asubuhi? nawasalimu katika jina la UPENDO, FURAHA NA AMANI
 
Nipo mwaya, nilifichwa vekesheni na small house. Afadhali uniachie tuzo, ntakugawia mshiko wake. Hongera naskia umeibua kimwana...
Hahahaaaa umeanza King'asti.....
Yule niko nae tangu zamani nilipoona umepotea jumla....
Hii tuzo ni yako labda utukane leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom