Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Hizi tuzo nipeni maana mimi ni mtu mwema sana....
Kama mtakataa kunipa basi mna lenu jambo
 
Tusi ni tusi tu, kwani lusinde alifanyaje, au nayeye ataviita vilikuwa viunganishi?
Tatizo kuna majina ya viungo (sehemu za miili yetu) ambayo kwa upeo finyu wa baadhi ya watu huwa wanadhani ni matusi kuyatumia hapa jamvini (kwa mfano '******'). Hebu tueleze mtazamo wako juu ya hili ili tukusaidie kupata jibu katika mada hii
 
Mbona umekageuza kwa nyuma? au ndiyo unakaambia keep it simple stupid huku unakafundisha nanihiii?
Mie simo lakini, naogopa kutukana nisije kosa zawadi.
Huna maana kabisa wewe huwezi kurelate avatar ya wapendwa wangu na ulichoandika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom