JF Photographer Of The Year 2011 Competition | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Photographer Of The Year 2011 Competition

Discussion in 'Jamii Photos' started by Superman, Mar 5, 2012.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wanajamii; Wana JF

  Mwaka 2010 tulifanya mchakato wa kumpata JF Man & Woman of The Year 2010. Shindano kama hili pia lilifanyika Mwaka 2009.  • Washindi wa 2009 "JF SuperLady" au "Celebrity wa JF" alikuwa WoS (Woman of Substance)
  • Washindi wa 2010 "Regia Mtema" (RIP) - Kwa JF Woman of the Year 2010
  • na Nyani Ngabu kama "JF Man of The Year 2010"


  Mchakato wote mpaka mshindi kupatikana unaweza kuupitia hapa:
  https://www.jamiiforums.com/complaint...ar-2010-a.html

  Mwaka huu tunataka kuuboresha mchakato huu na tunapenda kupitia mchakato huu kupata washiriki wengi na kuipa taswira JF kuwa kuna watu wanafakubalika katika hii online community.

  Mwaka huu 2012 tunafanya mchakato wa kuwapata Washindi wa 2011 (lakini michango yao ya sasa inakubalika iingizwe 2011).Tulichelewa kufanya kwa sababu zilizo nje ya uwezo. Mwaka huu tumeongeza na tutakuwa na Category ya:


  • JF PHOTOGRAPHER OF THE YEAR 2011 na

  Mchakato wa kuwapata washindi ndiyo unaanza sasa.Katika mchakato wa awali tutapendekeza majina mbalimbali katika category hii kulingana na unavyoona mhusika anakubalika na mwishoni tutachagua watatu kutoka katika kila category na kisha kuwapambanisha kupitia JF POLLS. Mwaka huu napendekeza tutoe zawadi yenye hadhi fulani kwa washindi ili kutoa changamoto za umakini katika mabandiko haba jamvini. Tutajulishana zawadi hizi tutakapoingia katika mchakato wa Kupiga kura.

  Vigezo vifuatavyo vizingatiwe katika kutoa mapendekezo ya watakaoshindanishwa katika hizi KURA ZA MAONI:

  1. Kama ni category ya WOMAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanamke na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike. Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi - JEC (Superman) ya Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.

  2. Kama ni category ya MAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanaume na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike.

  Katika 1 na 2: Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) wa Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.

  3. Anayependekezwa lazima kuwe na ushahidi unaoonyesha kuwa ni Mwana JF aliyebobea hasa kutokana na Threads alizozianzisha na pia post anazobandika. Vyote lazima viwe na impact chanya kwa wasomaji wa JF.

  4. Awe ni mwenye uwezo wa kusimamia hoja zake na kuzijibu kikamilifu bila jazba na kwa umahiri wa hali ya juu pale ambapo anapata challenge toka kwa wachangiaji.

  5. Awe ni mwenye ushawishi wa hali ya juu katika mabandiko anyochangia walau kwa muonekano wa wachangiaji kuunga mkono hoja zake.

  6. Kwa Wanaogombea Overall tittle, asibobee kwenye Jukwaa moja tu. Walau awe mchangiaji mzuri wa majukwaa yasiyopungua mawili. Kwa wale wanaopendekezwa MMU basi akubalike katika jumuiya ya MMU

  7. Asiwe mtu wa shari katika majibizano kiasi cha kupelekea Mods kumpa "BAN".

  8. Aonekane wazi katika mabandiko yake anaweza akahisiwa kuwa Kiongozi Mzuri.

  9. Awe Mchangiaji ambaye ni active walau mara moja kwa wiki. Ikiwa zaidi ni vizuri zaidi.

  10. Awe ni mtu asiyeogopa kukemea mabandiko yenye lengo la kutukana, kudhalilisha, kubagua, kuleta mfarakano na kutokuelewana baina ya wanachama wa JF.

  Sasa kila moja yuko huru kutoa mapendekezo yake ya nani wanastahili kuingia katika tatu bora katika kila category.

  Angalizo: Washindi wa Miaka ya Nyuma ni Macelebrity tayari hivyo hawaruhusiwi kupendekezwa.

  Nashauri kuwa mapendekezo ya majina yaambatane na maelezo mafupi.

  Uwanja ni wenu. Karibuni sasa mto mapendekezo au NOMINATIONS.

  Zingatia: ID za kuchakachua haziruhusiwi: i.e ID ambazo ni mpya kabisa na zimetengenezwa kwa ajili ya kupiga debe na kuongeza kura tu na ID zilizokuwa hazitumiki muda mrefu na sasa zimeibuka ghafla:

  Unapofanya nomination yako andika kabisa, Unamnominate nani na kwa title gani:

  Mfano: "Superman awe JF Photographer of The Year 2011" NB: Pls msimchague Superman huu ni mfano tu.


  Wasalaam
  [​IMG]
  Signed & Sealed:

  Superman

  Mwenyekiti - Tume Ya Uchaguzi ya JF (JEC)

  [​IMG]
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Afrodenzi ndie photographer of the year....
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,910
  Trophy Points: 280
  definetly Afrodenzi...kuna thread yake moja hivi nimeisahau jina lake ila kila mtu aliikubali
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Yes Indeed
   
 5. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  AfroD...
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,910
  Trophy Points: 280
  afr d....
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani Afro anapita bila mpinzani?
  Ngoja niweke mpinzani. . . Mi namchagua Eqylpz.
   
 8. S

  Saas JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndinda...
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Eqylpz. hana mpinzani
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Ivuga hana mpinzani
  nani anabisha? just tell the truth.
   
 11. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mzizi Mkavu ndiye photographer of the year 2011. nawakilisha
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  figaniga anatisha aisee hana mpinzani,zile picha za magari
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  sijui yupo wapi aisee....
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Eqylpz
  Ndinda
  Afrodenzi
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Yupo Ila kwa Manati...
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Finest
   
 18. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #18
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,354
  Likes Received: 8,477
  Trophy Points: 280
  mmh mbona sielwi.......!!!
   
 19. Gold Addict

  Gold Addict Senior Member

  #19
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  itakuwa haina maana kama el toro hatakuwepo
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,054
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Namheshimu sana Afrodenzi lakini Eqlypz ni kiboko asee!

  Eqylpz for real.
   
Loading...