Tuzo kwa mwana JF! Awe hajawahi kutukana.

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Wadau, waungwana, Great Thinkers (Ila siyo yule lusinde a.k.a kijana wa L.Y. a.k.a mipasho)

Napendekeza vigezo
  1. Mwana JF ambaye hajawahi kutoa lugha ya matusi,
  2. Awe hajawahi kushutumiwa kwa uleta umbeya mbeya
  3. .................................
  4. ...............................
  5. .........................
Mwenye kuongeza vigezo aongeze



Nawasilisha!

Wenu! Mkenya "Ng'wanakidiku"
Vigezo kuzingatiwa!
 
hapa labda tupate orodha ya MATUSI...wengine tunatumia kama viunganishi na vivumishi!...
 
duh . . .

Hatutaki hata ambaye alishawahi fanya matusi.

Yaani hapa panatakiwa kuwa matusi free zone.
 
Una uhakika? Hujawahi hata kusema "mimi mjinga" yaani mimi!?

Mh. Kama neno MJINGA ni tusi mie ntaomba nisishiriki katika race hizi .
Niulize sababu,
sababu ni mf. Rejea awamu ya kwanza ya utawala wa nchi hii, palikua na kaulimbiu isemayo "Tunafuta UJINGA, UMASIKINI na MARADHI"
Kaulimbiu hii walengwa walikua wananchi .
Ndiyo kusema wananchi walikua wanatukanwa ?
 
Ng'wanakidiku!

Umeleta thread nzuri kweli ila haujapanga vema!
Ni wazo kweli lakini tutafuta vigezo vingine.

Una wazo zuri!
Ngoja wadau waje baada ya uchaguzi wa kesho!
 
Sa si mnitunuku tuu mbona huitaji kuwa na phd kujua kuwa mi ndo nastahili?
 
weee, thubutu!
Hilo jina lako tu utata
nikilisikia ninatikisika baadhi ya sehemu za mwili

limekaa kichokozi sana, labda ubadili ID vinginevyo hushindi.

Sa si mnitunuku tuu mbona huitaji kuwa na phd kujua kuwa mi ndo nastahili?
 
wee sio mkei ni msayu sayu... Ng'wanakiduku

Mie sijawahi hata kusikia matusi acha kutuna yenyewe
 
Cheki nilivyoweka mikono! Mkao wa golikipa nangojea kuidaka hiyo zawadi,jinsi nilivyomuadilifu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom