Tuzitambue Wilaya maarufu kuliko mkoa hapa

01. BUKOBA
Ni wilaya inayopatikana mkoa wa Kagera lakini ina juna na brand kubwakuliko mioa wenyewe, wakazi wa huu mkoa ni Wahaya na imegawanyika katika pande mbili ambyo ni Bukoba Manispaa na Bukoba Vijijini.

02. KAHAMA
Ni wilaya inayopatikana mkoa wa shinyanga, wakazi wa wilaya hii ni wasukuma na ni wilaya iliyoendelea zaidi mkoani hapo Shinyanga

03. Musoma
Zamani nilikuaga najua musoma ni mkoa kumbe ni wilaya tu inayopatikana mkoa wa mara huko kwa wazanaki na wakurya hawa wazanaki na wakurya ni watu wanaopenda kulipiza visasi na kucheza na majambia but all in all musoma ni wilaya iliyoendelea zaidi kuliko mkoa wenyewe

04. SUMBAWANGA
Ni wilaya inayopatikana mkoa wa Rukwa huko unaambiwa hakuna mchezo mchezo ukileta ufala nawewe unaletewa ufala.
But all in all ni wilaya iliyoendelea zaidi mkoani Rukwa kuliko mkoa wenyewe.

05. TANDAHIMBA
Ni wilaya inayopatikana mkoa wa Mtwala na ni wilaya yenye brand na iliyoendelea zaidi kuliko mkoa wenyewe.

View attachment 2686615
Kwqmba jina lanTandahimba kubwa kuliko Mtwara ?
 
BUKOBA
SONGEA
MOSHI
SUMBAWANGA
MUSOMA
 
Songea
Bukoba
Moshi(hapa Tuko std 5 ,swali la kwenye Mtihani tuliulizwa Mlima Kilimanjaro uko Mkoa Gani?,tukajibu Moshi)tulikosa darasa kasoro mtu mmoja anaitwa Amina aliandika Kilimanjaro
Moshi kwa Sababu Gani?? Hivi moshi inajina kubwa kuliko Kilimanjaro???
 
Kuna Wilaya au Miji ambayo Majina yake ni makubwa kuliko Majina ya Mkoa.

Tunduma & Mbozi Mkoa wa Songwe

Songea Mkoa wa Ruvuma

Babati Mkoa wa Manyara

Maswa & Bariadi Mkoa wa Simiyu

Kahama Mkoa wa Shinyanga

Bukoba &Muleba Mkoa wa Kagera.

Zingine ongezea.
 
Back
Top Bottom