Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Bujibuji acha utani bana, yaani nawe unaperiod!!!!!!Mke wangu akileta habari za usawa na mimi ntamwambia leo niko kwenye siku zangu kwa hiyo siwezi kukupa uhausi
Bujibuji acha utani bana, yaani nawe unaperiod!!!!!!Mke wangu akileta habari za usawa na mimi ntamwambia leo niko kwenye siku zangu kwa hiyo siwezi kukupa uhausi
leo ni sikuukuu 'tutafute vitu light vya kujadili'
tusitoane mapovu
hivi hakuna wanaume wapumbavu eh![/QUOTE! GODO
Wanaume wapumbavu ni wengi zaidi kuliko wanawake!! mwanaume anaongea kama kanywa maji ya kutawadhia msikitini! kha!
Mwanamke mpumbavu ni yule asiyeamini yeye na mumewe ni mwili mmoja.
hivi hakuna wanaume wapumbavu eh![/QUOTE! GODO Wanaume wapumbavu ni wengi zaidi kuliko wanawake!! mwanaume anaongea kama kanywa maji ya kutawadhia msikitini! kha!
buji umeoa juzi tu, umeshaanza kuuliza hayo,
uwe mvumilivu hadi kufa.
Jirani yangu ndio anadhani mkewe ni miongoni mwa wanawake wapumbavu.
Hataki watoto wasome shule nzuri eti wanamaliza tu hela, bora mumewe awahamishie kwenye shule za kata

"Tunaomba tumjadili huyu mwanamke wa ajabu kabisa, ambaye kaamua kuivunja nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake"
BB huyo mwanamke alieamua kuivunja nyumba yake ni yupi???maana naona hapa unamuongelea jirani yako hataki watoto wasome shule nzuri. Kwa kukusaidia kama ni swala la jirani lazima kuna kitu huyo rafiki amekuficha haya mambo ya kuta 4 haya yana siri kubwa!! Sidhani kama kuna mwanamke muelewa atakae kataa watoto wake wasisome shule nzuri,labda awe na sababu za msingi na moja wapo ikiwa ni kipato chao! Inawezekana wana kipato kidogo halafu baba anataka kujitutumua aonekanae na yy watoto wake wanasoma HOPAC!!!!huku nyumbani hata kodi ya nyumba hawana.
Kama unamuongelea mwanamke wa kwenye bible......kuna mengi ya kujadili hapa,to cut it short sidhani kama kuna mwanamke(especially watz)ambae anaamua tu kuvunja ndoa yake kwa vitu vidogo(yaani vya kipumbavu) nina amini asilimia kubwa sana ni wavumilivu.
Kuna vitu vya msingi vya kuangalia kabla hujaamua kuivunja hiyo "NYUMBA"unayoisema,ila kumbuka uvumilivu pia unatofautiana......lakini SI WAPUMBAVU!!!! Kwanza kwa ndoa za siku hizi mwanamke anaeweza ku-step out mimi namuita JASIRI!!!!!