Tuzijadili sifa za mwanamke mpumbavu ambaye huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuzijadili sifa za mwanamke mpumbavu ambaye huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Nov 6, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,990
  Trophy Points: 280
  Tunaomba tumjadili huyu mwanamke wa ajabu kabisa, ambaye kaamua kuivunja nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Bujibuji mwanamke huyo aliyezungumziwa na biblia siyo huyu unamyemjua wa leo. Haki sawa kwa wote, ndiyo mchawi mkubwa wa wanawake. Wanawake wengi wanaotaka kutekeleza kwa vitendo nadharia hii huishia kuvunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe.
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Atakuwa anafikiria kwa kutumia masaburi ya Camerun
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0

  Hebu tufafanulie kidogo "haki sawa kwa wote" inajumuisha vitu gani?
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Sasa mwanamke mpumbavu ni yupi.?
  Sifa za mwanamke huyu ni zipi.?
   
 6. A

  Amelie Senior Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaenda kinyume na mithali 31.10...
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  kushika mimba sawi na kuzaa pamoja pia
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,990
  Trophy Points: 280
  Mke wangu akileta habari za usawa na mimi ntamwambia leo niko kwenye siku zangu kwa hiyo siwezi kukupa uhausi
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,990
  Trophy Points: 280
  Kuna wanawake wengine wamejaaliwa sana mdomo mrefu. Umekuja kutoka ofisini shati limochomoka kidogo kutokana na rabsha za kupigania daladala, basi atakusema weee, kuanzia saa 12 ulipofika hadi saa tano usiku akimaliza kuangalia matamthilia anaendelea tu kuongea kwamba wewe hauko smart na wala hujijali.
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  hivi hakuna wanaume wapumbavu eh!
   
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo mwanamke anakataa kushika mimba anakwambia ushike wewe au?
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  leo ni sikuukuu 'tutafute vitu light vya kujadili'
  tusitoane mapovu
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Eid njema Boss

  Kuna mada moja nzuri inayojadili mvuto wa ma-injinia.......maoni yako yanahitajika. Maana naamini una expirience katika mitaa hiyo pia
   
 14. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  jamani mwisho pilau itanipalia,tusherekee kwanza maneno ya upumbavu tutayaongea kesho
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  ha haaaaa eid mubarak kwanza...
  nilijua 'inakuhusu' ngoja niitazame lol
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mie hainihusu coz I'm above all that ish! lolz
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hujambo Daughter?
  nimesubiria thread yako ya 'kumfungikia' mtu humu
  wapi?
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Do u think ni rahisi kufunguka?
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Dada hebu tupe feed back

  Kufunguka kumesaidia lolote katika kitengo cha uhusiano na TB?
   
 20. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Karibu tule rubisi tushanduke na idd...waitu mbaije!!
   
Loading...