Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Tuweke ukweli hapa; nini hasa chimbuko la ugomvi wako na jirani yako?

Yaani tusiopenda ugomvu tunaumizwa Sana Kuna majirani wa2 walibomokewa na nyumba mvua ya mwaka jana,wakaja kuomba tofali wajistiri,kwa utuwangu nikawapa mmoja tofali mia900 Mwingine tofali 400 kwa ahadi ya kurejesha may na July mwaka 2020.Kilichotokea hawaja rejesha na wa Mia 900 anadai alizochukua ziilikuwa mia7, wa Mia 400 anadai zilikuwa mia2 na 4.kama SI ukorofi Ni Nini mkuu.UZURI TULIANDIKIANA NA NILIWAREKODI KTK MAKUBALIANO!
Wambie wakulipe hizohizo
 
Jirani yangu wa upande mwingine alikula kama futi mbili kwangu halafu kajenga kuanzia hapo! Nikamfahisha kosa lake nikachuna,baadae akaanza kujenga tena usawa ule ule. Nikamwambia nimekuachia mwanzo sasa umehalalisha nitabomoa majengo yote la zamani na hili jipya rudi nyuma jengo jipya usijenge ndani tena. Akatii. Kesho yake nikanunua matofali nikajenga ukuta nusu futi kutoka jengo lake hata paka hapiti.
au ndo wewe ile picha ilitrend kipindi kile ukaziba na dirisha la watu
 
Kwa yule MWENYE jirani ombaomba kwa kila utakachopika na mpsngaji mwizi wa mapochopocho ya wenzao.Dawa yao hii hapa.
PIKA MBOGA NZURI NA TAMU MNO ILA NYANYA YA KUUNGIA IWE NI ZILE PILIPILI KICHAA NYEKUNDU.HUYO WA DERA LA MKONO MMOJA AKILETA KIBAKULI CHAKE MTILIE YAKUSHIBA.
KITAKACHO MKUTA HUKO HARUDII TENA!
 
Ushawahi kuwa na girlfriend, kila akija kukutembelea lazima aombe kitu au achukue kitu ?
Inategemea anachukua Nini au anaondoka na Nini labda uniambie Aina ya vitu au vifaa anavyoomba au kuondoka navyo nitakujuza Kama Ni mazoea au urithi au tamaa tuu
 
Inategemea anachukua Nini au anaondoka na Nini labda uniambie Aina ya vitu au vifaa anavyoomba au kuondoka navyo nitakujuza Kama Ni mazoea au urithi au tamaa tuu
Vitu kama nguo, mafuta ya kupaka
 
Mkuu watalipa zote hawa sio Kama Ni wazee au hawana uwezo la hasha wanafanya kusudi kukomoa
Haya angalia Hata hizo chache wasije goma kulipa halafu gharama ya kurndesha kesi izidi Hata tofali unazodai, muishie kulogana!
Ushauri wangu wambie wakulipe hizo hizo wanazosema wao halafu endelea na mambo yako
 
Mademu wa buza wakija geto wanabeba Hata mboga , au wanachota mchele yaan kero tupu,
Maziwa ya unga wanafunga kwenye nylon fundo wanabeba, CD n.k
Duh hao watatizo la kujiendekeza tu kama asilimia kubwa ya mademu wa buza wanatabia hizo
 
Haya angalia Hata hizo chache wasije goma kulipa halafu gharama ya kurndesha kesi izidi Hata tofali unazodai, muishie kulogana!
Ushauri wangu wambie wakulipe hizo hizo wanazosema wao halafu endelea na mambo yako
Mkuu watazoea.mi nasomesha ujue wao wanakula Bata TU halafu kwakuwa Ni MIDUME siisamehi.NAJUA LA KUWAFANYA WALIPE TENA MWISHONI MWA MWEZI HUU
 
Haya angalia Hata hizo chache wasije goma kulipa halafu gharama ya kurndesha kesi izidi Hata tofali unazodai, muishie kulogana!
Ushauri wangu wambie wakulipe hizo hizo wanazosema wao halafu endelea na mambo yako
Mkuu watazoea.mi nasomesha ujue wao wanakula Bata TU halafi kwakuwa Ni MIDUME siisamehi.NAJUA LA KUWAFANYA WALIPE TENA MWISHONI MWA MWEZI HUU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom