Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

Ni kweli kabisa my love.
Ninasikitika hata sio mpenzi wanguπŸ’”πŸ’”
Kwa siku ile nilitamani awe karibu yang maana nilikuwa mpweke kuliko kawaida πŸ₯Ί
Lol nilihisi ni mubebezz dear sio mbaya pia!
Hata hivo pia alitumika tu kama njia kuja kukupatia hio furaha kwa wakati huo ambao ulihitaji kusikia hayo maneno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…