Tuwe tunauliza kabla ya kuvaa

Tuwe tunauliza kabla ya kuvaa

Kosa ni la aliyeprint, ukiangalia muundo utaona 'her queen' imekua printed kwenye fulana ya kiume na 'his king' imekua printed kwenye fulana ya kike.

Na wao walishapanga photoshoot itakuaje sasa?
 
[emoji23]
Nje ya mada, huyu ni wewe?
480057.jpg
 
Kosa ni la aliyeprint, ukiangalia muundo utaona 'her queen' imekua printed kwenye fulana ya kiume na 'his king' imekua printed kwenye fulana ya kike.

Na wao walishapanga photoshoot itakuaje sasa?
Unajuaje? Labda wao ndio wametoa maelekezo yote?!
 
Umenikumbusha miaka kumi nyuma nilikuwa nairobi form one, nilinunua T. Shirt BIG BUTTOCKS ... Mimi nilikuwa sijui maana yake. Siku moja rafiki yangu aliniambia hiyo inamaanisha SIKUKUU YA MWENYE MATAKO MAKUBWA. Yaani nilienda kuichoma kimya Kimya
2008?
 
Yaani mpaka form one tena unapelekwa Nairobi hujui maana ya buttocks?! Hukuwa hata na akili ya kutafuta maana yake?
MKUU, kiukweli nilikuwa sijui maana nimesomea st. Serkali ya jamuhuri ya muungano wa tz, halafu mama akafanyia mchongo ndio akanikumbuka.
 
Tatizo lugha ndiyo maana lowasa alikuwa anasema elimu,elimu,elimu
 
Hii imetokea huko facebook!Kabla ya kuvaa inabidi kuuliza ipi inavaliwa na yupi !Wenzetu wametupia tu!
img_8912-jpg.722632
Printers error, angalia size za fulana na aina za fulana wako correct kabisa, shida ni maandishi hawakuoma kabla?
 
Back
Top Bottom