Tuwe tunauliza kabla ya kuvaa

Sicolate

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
243
342
Hii imetokea huko facebook!Kabla ya kuvaa inabidi kuuliza ipi inavaliwa na yupi !Wenzetu wametupia tu!
img_8912-jpg.722632
 
Attachments

  • IMG_8912.JPG
    IMG_8912.JPG
    131.3 KB · Views: 169
Umenikumbusha miaka kumi nyuma nilikuwa nairobi form one, nilinunua T. Shirt BIG BUTTOCKS ... Mimi nilikuwa sijui maana yake. Siku moja rafiki yangu aliniambia hiyo inamaanisha SIKUKUU YA MWENYE MATAKO MAKUBWA. Yaani nilienda kuichoma kimya Kimya
 
Yaani mpaka form one tena unapelekwa Nairobi hujui maana ya buttocks?! Hukuwa hata na akili ya kutafuta maana yake?
 
Yani nacheka hapa watu wananiona sina akili.

Hahahahahaha..hayo mawe sio mwanza kweli jamani?
 
Back
Top Bottom