Tuwe tunasoma ujumbe mara tuupatapo!!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,253
12,869
JAMANI! TUWE TUNASOMA UJUMBE MARA TUUPATAPO!!!Mgonjwa mmoja mahututi alikuwahawezi kuongea, alipofikishwa hospitalini akawekewa oxgen.Bac wakaja waumini wenzie akiwemo Mchungaji kuja kumuombea.WAKATI AKIOMBEWA, yule mgonjwaakaonesha ishara ya kuomba kalamu na karatasi ili aandike jambo fulani,kwa haraka haraka Akaandika jambo na akampa yule Mchungaji. Ambayebadala ya kuisoma ile karatasi, akaitia kwenyemfuko wa joho na kuendelea na maombi hadiyule mgonjwa, AKAKATA ROHO.Mchungaji hakuisoma ile karatasi akijua kuani wosia wa marehemu. Akasubiri baada yamazishi kwenye kikao cha ndugu akasema;"KUNA KITU NILIPEWA NA MAREHEMU SIKUNILIYOKUA NAMUOMBEA"Akampa mmoja wa wanandugu akisome.Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa nayule mgonjwa:"UMEKANYAGA WAYA WA OXYGEN,NAKOSA HEWA".
 
Kama huyu anapiga fegi hajui kama anamuunguza mwenzie.

3485-Nose-Smoker.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom