Tusome ujumbe.....

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
925
JAMANI! TUWE TUNASOMA UJUMBE MARA TUUPATAPO!!!

Mgonjwa mmoja mahututi alikuwa
hawezi kuongea, alipofikishwa hospitalini akawekewa oxgen.


Mchungaji akaja kumuombea.
WAKATI AKIOMBEWA, yule mgonjwa
akachukua kalamu na karatasi,
Akaandika haraka haraka na akampa yule Mchungaji. Ambaye
badala ya kuisoma ile karatasi, akaitia kwenye
mfuko wa joho na kuendelea na maombi hadi
yule mgonjwa, AKAKATA ROHO.
Mchungaji hakuisoma ile karatasi akijua kua
ni wosia wa marehemu. Akasubiri baada ya
mazishi kwenye kikao cha ndugu akasema;
"KUNA KITU NILIPEWA NA MAREHEMU SIKU
NILIYOKUA NAMUOMBEA"
Akampa mmoja wa wanandugu akisome.
Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa na
yule mgonjwa:
"UMEKANYAGA WAYA WA OXYGEN,
NAKOSA HEWA"
 
mbona huyo mgonjwa alikuwa makini kiasi hicho..!...Lakini namshangaa kama aliweza kuchukua karatasi na kalamu mahala vilipokuwa na kuandika ujumbe huo alishindwaje kuusukuma mguu wa huyo padiri na kuutoa kwenye hiyo dripu?
 
Nadhani hasira na machungu ya wanandugu yote yataelekezwa kwa Kasisi. Ila nahakika he/she will never ever repeat the same mistake again.
 
Ujumbe mzuri.............lakini umetumia hali isiyo halisi kuufikisha! In real life sometimes it happens.....see the IDES OF March detailing the assassination of Julius Caesar
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom