Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,462
- 3,505
Kuna jamaa alifariki Mwaka Jana Mwezi wa kwanza kisa visungura, sasa hivi ametulia zake kwenye udongo amepiga usingizi mrefu sana anakoroma huku anakula udongo na kuliwa na mchwaNa nyie nawaasa kama unapenda mikali hakikisha unakula vizuri japo hata huyo aliyekata moto alikuwa vizuri kiuchumi na hela ya kula hawezi kosa lakini ndo hivyo tena.
Dah bora Local zetu tu, gharama ya kufoji bia ya local inaweza ikawa alfu tatu kwa bia moja, wakati bia orijino inauzwa elfu mbili, nani atengeneze fake sasa wakati hakuna upungufu wa bia local, all year around .Kunywa pombe hapa Bongo ni hatari. Unaambiwa baadhi ya ingredients wanazotumia ni pamoja na maji ya betri na dawa za kuulia wadudu. Hapo kuna figo na ini litakalosalimika kweli?
View attachment 2868102View attachment 2868103View attachment 2868104View attachment 2868105View attachment 2868106View attachment 2868107View attachment 2868108View attachment 2868109
Hatari sana hii wapi hii?Kunywa pombe hapa Bongo ni hatari. Unaambiwa baadhi ya ingredients wanazotumia ni pamoja na maji ya betri na dawa za kuulia wadudu. Hapo kuna figo na ini litakalosalimika kweli?
View attachment 2868102View attachment 2868103View attachment 2868104View attachment 2868105View attachment 2868106View attachment 2868107View attachment 2868108View attachment 2868109
Noma sana pombe kali ni kali kweliJamaa yangu alitapika damu kwenda hospital ni vidonda vikali vya tumbo!
Akaapa kwamba anacha pombe kaliπππ ndo kaongeza mwendo...
Chakula anakula kwenye vibakuli!!
Dokta jirani tumemsafirisha mwezi uliopita kwenda huko Kanda ya kati,pombe kali ilimtoa uhai. Kaacha watoto na mjane mnono sana
Mimi pia Kuna ndugu yetu alifariki sababu ya unywaji pombe na alikua bado kijana mdogoWasaalam, mnamo mwaka jana X Mass nilikunywa sana mpaka ikanipelekea kupata ulcers hivyo 25/12 na 1/1 ziinikuta kitandani naugumia maumivu nikajiapiza naachana na mipombe kali. Lakini nilivyopata nafuuu nikarudi tena.
Mwaka huu juzi 25/12 na 1/1 nazenyewe nimezilia kitandani the same case kama mwaka uliopita lakini nilipopata nafuuu nikaendelea tena.
Ila kilichonitisha juzi kati kaja balozi wa mtaa anachangisha rambirambi, nikatoa ila sikumuuliza chanzo cha kifo baadae niko kijiweni ndo washikaji wanasema huyu mtu alikufa kwa sababu ya pombe kali hawajamalizia hiyo story napewa taarifa mshikaji kuna mwingine tena huyu nimewahi kunywa nae mtaani kwangu kwa zamani naambiwa na yeye amekata moto kwa sababu ya vikali. Wakuu nimeogopa yaani bapa lote nilokunywa lilikata.
Kwa moyo wa dhati mi nimeamua kupunguza hii mikali japo bia siziwezi ila napunguza hii mikali taifa bado linanitegemea.
Na nyie nawaasa kama unapenda mikali hakikisha unakula vizuri japo hata huyo aliyekata moto alikuwa vizuri kiuchumi na hela ya kula hawezi kosa lakini ndo hivyo tena.
Hili linawezekana kabisa....Kunywa kistaarabu.
Na zinavyofyatuliwa hovyo bila viwango athari ni kubwa sana. Copy za vinywaji vikali ni nyingi kwa sasa.
πππKunywa pombe hapa Bongo ni hatari. Unaambiwa baadhi ya ingredients wanazotumia ni pamoja na maji ya betri na dawa za kuulia wadudu. Hapo kuna figo na ini litakalosalimika kweli?
View attachment 2868102View attachment 2868103View attachment 2868104View attachment 2868105View attachment 2868106View attachment 2868107View attachment 2868108View attachment 2868109