Tuwe makin na wezi wa mchana

nanawoo

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
1,267
1,215
a6b4c1968cae3e065be88cad10891155.jpg
 
Halafu Ni Nguvu Kazi Ya Taifa (Ana Nguvu Tele)
Hawa Ndiyo Wale Jpm Aliosema Kamata Shika Peleka Kwa Nguvu Kwenye Mashamba Huko
Wakirudi Watakuwa Wameshajizoelea Kuwa
Asiyefanya Kazi Asile.
 
duhhh!!! hiyo nguvu kazi alotumia hadi kuvunja ukuta kuingia ndani na kutoka, kama angejitahidi namna hiyo kufanya kazi za halali hivi sasa angekuwa na utajiri wa TRUMP
kiubinadamu kazi aliyoifanya ni kubwa ilibidi wamuachie hiyo tv
 
Hv hlo tund kweli ndo imepita hyo tv hapo nmeangalia mara mbili mbili hebu semeni na nyie
 
Jamaa atapigwa hadi afe kwa wizi wa TV ila kuna watu wanaiba hela za maafa na ulinzi wa polisi wanapewa!
 
Lazima alikuwa na wenzake ambao wamefanikiwa kukimbia.

Yeye mwenye gundu ndio ameisha.

Hiyo sio kazi ya Mtu mmoja
 
Back
Top Bottom