Ibraham
Natambua uwepo wenu wote, mmefanya maisha ya mwajiriwa huyu kuwa marahisi.
Bosi anafoka anakuta wewe unacheka kama mwehu kumbe ni MMU wala hujasikia alosema
salute to you all
Nionavyo mimi, ukiondoa Jukwaa la Siasa, Jukwaa maarufu zaidi ni hili la MMU. Jukwaa hili lina visa, hoja, vioja na viroja.
Vipo visa vya kweli na vingine vya kutunga.
Wapo wanaotafuta marafiki, wengine wanatafuta wachumba, wengine wake/waume. Wapo waliopata wenza wa maisha, wapo waliochumbia madume au majike wenzao bila kujua.
Pia wapo wanandoa wanaotafuta wenza wapya wakati tayari wamo kwenye ndoa!
Leo napenda kuwatambua vinara wa Jukwaa hili; naanza na....
Marytina...
Tuendeleze orodha.
Kongosho, are you she or he? Kama wewe ni he, basi ni Kinara kwa upande wa Wanaume hapa MMU!
Vinara kwenye nini?