Tuwape Tanesco maua yako haraka

Sisi kwetu mgao unaendelea kama kawa.
We wape maua yako sisi tunayaotesha kupamba nyumba zetu
 
Wapi hiyo?

Kuna jirani yangu anatumia Jenereta tangu Umeme uanze kusumbua Mwaka Jana.

Alishawaambia Tanesco waje waondoe mita yao [emoji119]
Huyu Ni fisadi tu hyo jeuri katoa wapi
 
Huyu Ni fisadi tu hyo jeuri katoa wapi
DSM hii Kuna watu Wana hela

Unakuta amejitengea bajeti ya milioni 3 kulipia petrol kwaajili ya Jenereta lake kuliko kuendelea kuteseka na giza la Tanesco πŸ˜…
 
DSM hii Kuna watu Wana hela

Unakuta amejitengea bajeti ya milioni 3 kulipia petrol kwaajili ya Jenereta lake kuliko kuendelea kuteseka na giza la Tanesco [emoji28]
Hasara lkn awe na subira tu
 
Duhh huku kwetu siku ya pili mfululizo wanakata
 
Sasa wee uko kijijinai unatumia taarif 0 na huna vifaa vingia Zaid ya balbu tu sqsa kwanin usiamishiwe kwenye taarif 0

Embu tafuta hella achana na taarifu 0 wewe
Ahaaa angalau nina friji 2, bulb kama 15, pasi, washing machine, blender, grinder, tv, n.k., pengine wewe hapo mjini hutumii umeme mwingi kama mimi. Rekebisha tariff yako unaliwa sana.
 
Sasa hii low voltage uwe umeweka tv guard na fridge guard mbona utakoma. Ni on/off on/off. Unaweza kuwa na umeme na usiijnoi kuwa nao.
Kuna muda taa baadhi Zina zima, Huku siku hizi sipendi mambo mengi.
So PC, godoro, vitabu basi.

Kuna sehemu kwingine ndo nime funga solar watt 200. Huko Safi hata wakate mazima
 
Kuna muda taa baadhi Zina zima, Huku siku hizi sipendi mambo mengi.
So PC, godoro, vitabu basi.

Kuna sehemu kwingine ndo nime funga solar watt 200. Huko Safi hata wakate mazima
Naona nako hapa imekatwa [emoji23][emoji23][emoji23](^^)[emoji10] ila Hawa jamaaa wapuuz
 
Kweli aisee, waweke bei ya 10000 upate unit 40, na iwe flat rate kwa taifa nzima,
Kisha wahakakikishe kila kijiji kina umeme
Wafanye unit 1=100 maana yake 1000=10 unit... Ukitoa 10000= 100 unit, hiyo iwe kwa residential(majumbani) halafu huko viwandani napo wawafikirie....lakini kwa hivyo watu wataona umeme ni bora kuliko mkaa na gesi, watu watafunga ac majumbani pasipo hofu ya bill, mashine za kufulia hazitakuwa anasa tena kwa baadhi ya watu...kwa ufupi ghalama za maisha zitapungua. Lakini haya yote ni ndoto chini ya jini mtu mweusi !
 

Wakifanya hivyo itakua poa sana mkuu, viwandani wafanye Γ—2=200 per unit
 
Sifa ziende kwa Marehemu Magufuli, kwa kutekeleza mradi wa kihistoria ambao wengine wote waliogopa kuukamilisha.
Yeye huyo huyo ndiyo alisema lile Bwawa liki kamilika bei ya umeme ita pungua.
After kifo chake Tanesco wamesema bei ya Umeme itabaki pale pale haita pungua.

Sifa zote ziende kwa Magufuli hata kama ni marehemu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…