PostGE2025 Tuwaombee sana wafanyabiashara, wanapitia mengi

PostGE2025 Tuwaombee sana wafanyabiashara, wanapitia mengi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,413
Reaction score
40,259
Hawa watu ni muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya taifa. Sio rahisi ila wanapambana. Binafsi nina uhakika ni wafanyabiashara wachache sana nchini ambao wanafanya biashara zao pasipo kuwa na stress kubwa. Wengi presha zinapanda na kushuka.

Kuna kundi kubwa sana ni kama linawafanyia kazi mabenki na taasisi nyingine za mikopo. Ukiona hisa za benki zinapanda thamani ujue kuna wafanyabiashara wanapambana kurejesha mikopo.

Kuna ambao hata hawana mikopo ila wanafanya kila namna kukuza biashara zao ila wanaishia kujikuta wanatafuna mitaji yao bila kupenda. Kuna saa mtu unajiona kabisa unakula mtaji ila huna namna kuzuia. Yaani mambo ni mengi sana.

Hawa watanzania wenzetu wanaoweza kutumia akili zao kuhakikisha biashara zinafanyika na watu wananufaika kupitia ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja wanapaswa kuombewa na kutiwa moyo. Haijalishi mfanyabiashara mkubwa wala mdogo, wote stress ziko palepale.

Ninawasihi waandamanaji hiyo tarehe 9 Dec wasifanye uharibifu waliofanya tareh 29. Kuharibu biashara ya mtu ni kuvuruga maisha ya watu wengi wasio na hatia. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kuchapa risasi wote watakaojitokeza kuvamia biashara za watu. Mkiwapiga palepale kwenye tukio itaepusha kupiga wasiohusika.
 
Tofatisha kati ya wachuuzi na wafanyabiashara, hao wanaotafuta mitaji ni wachuuzi waganga njaa tu. Wafanyabiashara walikuwa wanachangia mamilioni na mabilioni kwenye mkutano wa CCM Dinner Gala Mlimani city.
🤣
 
Hawa watu ni muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya taifa. Sio rahisi ila wanapambana. Binafsi nina uhakika ni wafanyabiashara wachache sana nchini ambao wanafanya biashara zao pasipo kuwa na stress kubwa. Wengi presha zinapanda na kushuka. Kuna kundi kubwa sana ni kama linawafanyia kazi mabenki na taasisi zingine za mikopo. Ukiona hisa za benki zinapanda thamani ujue kuna wafanyabiashara wanapambana kurejesha mikopo.

Kuna ambao hata hawana mikopo ila wanafanya kila namna kukuza biashara zao ila wanaishia kujikuta wanatafuna mitaji yao bila kupenda. Kuna saa mtu unajiona kabisa unakula mtaji ila huna namna kuzuia. Yaani mambo ni mengi sana. Hawa watanzania wenzetu wanaoweza kutumia akili zao kuhakikisha biashara zinafanyika na watu wananufaika kupitia ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja wanapaswa kuombewa na kutiwa moyo. Haijalishi mfanyabiashara mkubwa wala mdogo, wote stress ziko palepale.

Ninawasihi waandamanaji hiyo tarehe 9 Dec wasifanye uharibifu waliofanya tareh 29. Kuharibu biashara ya mtu ni kuvuruga maisha ya watu wengi wasio na hatia. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kuchapa risasi wote watakaojitokeza kuvamia biashara za watu. Mkiwapiga palepale kwenye tukio itaepusha kupiga wasiohusika.
Wasihi GENGE LENU la wahuni wawasikilize wananchi hoja zao ikiwemo katiba mpya na tume huru.

Wasihi BIBI yenu CHURA na CHOKOSTIKI Dulla aache kuteka na kuua watu kupitia GENGE LAKE la wahuni aliwakabidhi silaha.
 
Kuna direct proportionality yoyote ya unachosema ? Wanaoharibu Biashara za watu au personal property yoyote ni waharifu washughulikiwe.., wauwaji wawajibishwe na watawala ambao wana-underperform wabadilike na pia kuwapa nafasi ya yoyote mwenye grudges zake aweze kuzifikisha na zisikike..

Wote ni wenyenchi na Watanzania na watawala wamekuwa wakiwanyonya sana hawa jamaa kwa muda mrefu (nina uhakika nao wana grudges zao nyingi tu) ingawa kama kawaida ya watawala wanataka kuleta Divide and Rule
 
Mimi naona tuwaombee wauwaji ili waendelee kuuwa raia, tuliombee jeshi la polisi likiongozwa na mafwele sijui mafwele na genge lake, tuwaombee mafisadi waendelee kula kodi zetu, tuiombee serikali haramu iendelee kubambikia wasio na hatia kesi na kuwaacha uraiani wauwaji wakiendelea kutamba, tuwaombee kina murillo na chalamila waliosema video za mauaji ni za kutengeneza, niishie hapo kwa leo!
 
Tofatisha kati ya wachuuzi na wafanyabiashara, hao wanaotafuna mitaji ni wachuuzi waganga njaa tu. Wafanyabiashara walikuwa wanachangia mamilioni na mabilioni kwenye mkutano wa CCM Dinner Gala Mlimani city.
Lazima kwenye nyuzi zangu mataahira kadhaa wawepo.Hongera sana kwa kujitokeza kama taahira wa kwanza kwa leo.
 
Tofatisha kati ya wachuuzi na wafanyabiashara, hao wanaotafuna mitaji ni wachuuzi waganga njaa tu. Wafanyabiashara walikuwa wanachangia mamilioni na mabilioni kwenye mkutano wa CCM Dinner Gala Mlimani city.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom