Tuwakumbuke waliotamba

Tuwakumbuke waliotamba

SYLVINHO.

1550532994213.png
 
Kiongozi.

Nimeshakustukia wewe ni Shabiki wa ARSENAL 😀😀😀
Hahaha 😁😁 ndio kiongozi, natumai na wewe unafuatilia mpira ndio maana umechezwa na machale.
Hawa watu niliona nikiwa kinda yaan kama kinda (Goat)😁
 
Lipumba baada ya kutengua barua yake ya kujiuzulu
 
Kiongozi.

Unawazimika sana waPUERTO RICO
Sio Puerto Rico tu Latin America yotee nimewahi kuishi na baadhi yao.
Dah lakini nimekukubali kiongozi na hapa umedaka duh! Shusha wote J Balvin, Bad Bunny, Thalia, Mozart La Para, Shakira kama unaweza.
 
Samahani sana.

Kama nikipata muda nitarudi tena baadae, ikishindikana kesho tena hiyo.

Nina mambo mengine ya kufanya.

Pamoja sana Kiongozi
 
Back
Top Bottom