Tuwakumbuke waliotamba


L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,825
Likes
1,664
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,825 1,664 280
ha ha haa haya mazeee,pamoja. unajua hata vipindi vya zilipendwa,enzi hizo ,zilizovuma huwa tunawekewa nyimbo za miaka ya zamani sana.Walioziimba wengine walishakufa na wengine bado wako hai.
Hapo sasa nimekupata vizuri sana.

Maana jana nilitaka kumuweka MICHAEL JORDAN, ila nikasema, ngoja kwanza niwekwe sawa na mwenye BANDIKO kisha ndio niendelee na mapambano.

Basi kama ni hivyo huu UZI unanihusu sana.

Pamoja sana Kiongozi
 
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,825
Likes
1,664
Points
280
L

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,825 1,664 280
Hapo sasa nimekupata vizuri sana.

Maana jana nilitaka kumuweka MICHAEL JORDAN, ila nikasema, ngoja kwanza niwekwe sawa na mwenye BANDIKO kisha ndio niendelee na mapambano.

Basi kama ni hivyo huu UZI unanihusu sana.

Pamoja sana Kiongozi
Ok mkuu lengo langu lilikua ni kuwaweka watu waliovuma sana zamani haijalishi kama wako hai ama wamekufa.
kama utafahamu vipindi vya nyimbo vya zilipendwa,zilizovuma,hizi nazo na vinginevyo huweka nyimbo za wasanii wa zamani,lakini wengine walishakufa na wengine wako hai ilimradi walitamba.tuko pamoja Mazee,naona umeshusha mzigo wa kufa mtu hadi Air Jordan ndani
 

Forum statistics

Threads 1,272,366
Members 489,924
Posts 30,449,024