Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,010
- 23,344
Shati aina ya Bushoke ninalo mpaka leo.Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk
Amina Chifupa wa Mpakanjia
Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa umaarufu.
Ali Choki mzee wa farasi. Huyu alikuwa maarufu mpaka kuna viatu vikapewa jina lake.
Staa yupi unamkumbuka zaidi?
Rah P nasikia kaolewa na kaokoka!Alfred Tibaigana
Mwisho Mwampamba
Marehemu Mohamed Funga Funga (Jengua)
Rashidi Matumla
Rah P
Benson Bana
Hashim Lundenga
mpaka na vyupi za TMK zilikuwepo