Tuwafanyeje hawa DOWANS? Inauma inauma inauma

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
jkrostam.jpg


2.jpg


Mramba-na-JK.jpg




blogu2.jpg
 
Mimi nafikiri tuwamwagie tindikali popote tutakapowaona.........
 
Huyu January Makamba ameingia na speed za kuchemka, kaja na mcheche wa Barua kwa Ngeleja ili aukwae uenyekiti wa kamati ya madini baada ya hapo aje na option 2 ya eti tuitaifishe / tuingie mkataba wa muda mfupi na matapishi ya Dowans bin Richmonduli.

Hawa kwa ujumla wao ndiyo wanaofirisi nchi ya Tanzania na ndiyo wanaofanya maisha yetu yawe magumu kila kikicha bila matumain ya Tanzania ijayo.
 
Tuwafukuze nchini kwetu

Maria wewe una huruma sana - watu kama hawa arabuni ni kamba tu. we fikiri watoto wanaozaliwa sasa hivi watarithi nini ktk nchi hii? naongelea Tanzania miaka 50 ijayo yaani kwa mtiririko huu wa viongozi uchwara basi itakuwa afadhali ya somalia.
 
Jamani tuache ulalamishi,tufanye vitendo.Niunge mkono niko tayari kuanzisha maandamano yasiyoisha.
 
Hivi jamani sisi si-ndio wasomi wa nchi hii? na bahati mzuri tunamtandao wa jamii unaounganisha wasomi wengi? naomba watu wanaojua siasa na wenye kuweza ku-mobilise watu tuanzisha mtandao wa nguvu ya umma tuwaangushe hawa mafisadi wa ccm, na bahati nzuri tena tunayo sababu ya kuanzisha mawasiliano na hatimaye maandamano kuwang'oa mafisadi. VIVA Mshikamano!!!!
 
ebu jiulize kwanza wapiha kura wao waliwafanya nini kabla wewe hujatuuliza sisi tuwafanyaje hao!
hii ni nchi ya majuha!
 
tuwasamehe maana hawajui walitendalo......


[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]To speak and to speak well are two things. A fool may talk, but a wise man speaks. ~Ben Jonson[/FONT]
 
ebu jiulize kwanza wapiha kura wao waliwafanya nini kabla wewe hujatuuliza sisi tuwafanyaje hao!
hii ni nchi ya majuha!

[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]To be able to ask a question clearly is two-thirds of the way to getting it answered. ~John Ruskin[/FONT]
 
Astakafurylaaahhh

tuwachome moto........hawa.

[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]By swallowing evil words unsaid, no one has ever harmed his stomach. ~Winston Churchill[/FONT]
 
Dawa yao ishapatikana, tunatafuta njia ya kuifikisha kila kona ya nchi, dawa yao ni kama ile ya panya!! haitibu bali inaua na kumalza kizazi chote cha hiyo jamii. So kikwete na wenzio niwaibie siri! kimbieni mapema coz sumu hiyo ni mbaya coz haikwepeki tena endapo itakukuta ukiwa bado upo ndani ya himaya yetu! umekula nafaka na kila aina ya chakula chetu ghalni na mashamban bado ukawaita na wenzio mkashirikiana kula kila kilichokuwa mbele yenu! aki ya nan tuna hasira na nyie!:A S-devil4::A S-devil4:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom