MOORIINGEE
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 381
- 190
Uwezo wa kubadilishana mawazo hapa JF ni kutokana na walimu waliyotufundisha somo la mwandiko tukiwa darasa la kwanza!
Kwa kuwaenzi nawaomba kila mmoja amtaje mwalimu wake kwa kumuenzi hata kama aliwahi kukuchapa.
Najua ulianza kuandika kwenye kibao kabla ya daftari.
Karibuni wana JF.
Kwa kuwaenzi nawaomba kila mmoja amtaje mwalimu wake kwa kumuenzi hata kama aliwahi kukuchapa.
Najua ulianza kuandika kwenye kibao kabla ya daftari.
Karibuni wana JF.