Mwl. Bibi Nyamagana P/School Mwanza, 1992.
Mwl Zungiza,Mugabe pr. Schl,Sinza Dar.kwa kweli namshukuru sana.Mapumziko darasa linafungwa,hutoki bila kununua vibagia na ubuyu wa urojo,kama huna hela unalazishwa kukopa.Tehe tehe.
Mwal. Ngitiri Olkokola Pr school Enzi za 1984 nyinyi wanajamvi hakuna aliyekuwa amezaliwa
Mwl. Rajabu Nyanza P/School Mwanza, 1998.
Teh primary school mate.....lol