Tuwaenzi walimu wa somo la Mwandiko

Tuwaenzi walimu wa somo la Mwandiko

Mwalimu Kadebe mton kjc p/s. baada ya kipindi ni foleni ya kununua visheti vyake. kwake ilikuwa ni bora usiwe na daftari kuliko ukose pesa ya kununua kisheti
 
My dear tumesoma wote, Zungiza, unakumbuka iii ndio a, a a a inamkia nyuma a a a
Mwalimu alikuwa kaandika herufi zote nyuma ya darasa, ana bonge la fimbo refu, hapo kwenye ubuyu ndo balaa
 
Back
Top Bottom