Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu Wakumbusheni Watoto Wetu Asa Asa Jamii Ya Sasa Kwamba Mtoto Sio Mrithi Wa za Wazazi Wake Wakiwa Wangali Hali.
Kisheria Mali Ni za baba na mama ndo maana zinaitwa kisheria Matrimonial Property
Yaani Baba akifariki umiliki unahamia kwa Mama na Mama akifariki umiliki unahamia pia kwa Baba.
Hata Mzazi au Wazazi Wakiamua kuuza Mali zao kisheria hakuna mtu au Mtoto wa kumzuia
Kwa Mujibu wa Sheria ya Mtoto ya 2009, Mtoto haki zako ni pamoja na kupata matunzo na haki ya kupata elimu ukifikisha miaka 18 haki zako zinaanza kupoteza automatically.
Tuwakumbushe Hao Watoto wetu Kwamba Baba au mama akiwapa watoto urithi wa Mali zake hiyo ni kama favour tu na siyo lazima kisheria.
Sasa Wazazi wote wakifariki baba na mama Kama Watoto Wapo basi automatically Mali zinahamia kwa watoto.
Niwatakie Usiku Mwema na Mungu Awabariki Sana Wakuu