Elimu ya Dini haina mwisho leo ndo ni mejifunza jipya kwamba katika mafundisho ya adaabu kwa mzazi, mama au baba wana haki ya kutumia mali au pesa za watoto wao hata bila kuomba wa husika,
Pili kutii wazazi wako na kuwa nyenyekea ni bora zaidi kuliko hata kufia kwenye jihad, na mtoto aruhusiwi kuenda kwenye jihadi bila ruhsa ya wazazi hata akiwa mkubwa,
Tatu mtoto hupaswi hata kuguna mbele ya wazazi wake au kulipiza kisasi, na kingune Mama ana nafasi tatu zaidi kwa mwanae kuliko baba, maanake kama unatoa zawadi mama unampa laki tatu baba anapewa laki moja.
Nimependa ufundishaji wa maadili katika dini ya kiislamu, laitu watu wote wange zingatia hayo mafundisho ki usahihi tunge ishi kwa Amani na salama zaidi.
I LOVE ISLAMIC RELIGION ITS MORE REALISTIC THAN THEORATICAL