Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,166
- 85,063
madhara ya p2Aliwahi kuumwa magonjwa ya zinaa? PID nk?
madhara ya p2Aliwahi kuumwa magonjwa ya zinaa? PID nk?
Ujumbe mzuri sana
Umeusoma?Ujumbe mzuri sana
Paragraph ya mwisho tuUmeusoma?
okay..Paragraph ya mwisho tu
Avatar yako haijakaa vizuriokay..
Wee kiazi sana.kumbe huna d mbilialiyeelewa hapa please naomba ufafanuzi zaidi..
Daah yaani hujaelewa?.Mkuu complication za mimba zinahusiana vipi na UKIMWI?
umewezaje kuona, ngoja simu iwake niitoe!Avatar yako haijakaa vizuri
Ukifanya hivyo itakua vyemaumewezaje kuona, ngoja simu iwake niitoe!
Mbona uhamasishaji wa kuvaa nailoni unazidi kulikoni wakuuNaunga mkono hoja
Sina mkuu, nimeishia darasa la 3CWee kiazi sana.kumbe huna d mbili
Akome ausio!!!
Hatari sana, ila ameshaingia road
kisu siyo kizuriAkome ausio!!!
Sharing is caringNgoja nikusaidie.
Ana mpenz wake. Na wanaaminiana na huwa hawatumii Condom.
Ila mpenz wake huyo akapata mimba.
Na Jamaa hakuwa anajua, (hakuambiwa).
Bidada akapata complication za mimba ikabidi afanyiwe Operation.
Kwakuwa Bidada hakumwambia Jamaa kama ana mimba. Ni dhahiri atakuwa amemwambia mwanaume mwingne ambao ndiye mtia mimba. (Maana huwez fanya procedure kubwa hivyo bila kumwambia muhusika wa mimba).
Kiufupi, mpenz wake ana mpenz wake. Na ndio aliyetia mimba.
Bidada ana wapenz wawili na wote hawatumii Condom. Risk.
Tunacheza na Minara na parachuteKwahy baada ya risk ya mimba ndo umejua umuhimu wa kinga?
Si ndiyo nachangia ubaba, uwezi kuwa baba peke yakoDaah yaani hujaelewa?.
Alidhani Yuko mwenyewe kumbe anakojoa juu ya bao la mtu
Achana na UKIMWI
Nimeumia sana mpenzi wangu amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya complication za mimba
Yaani ata taarifa ya hiyo mimba nilikua sina
Tuvae condom, nasisitiza. SITAWAFUNDISHA TENA