MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,445
- 38,947
- Thread starter
- #41
YES, INDEED alifanyiwa upasuaji wa dharura, yuko vizuri anaweza kuingia road nowAlipata ectopic?
YES, INDEED alifanyiwa upasuaji wa dharura, yuko vizuri anaweza kuingia road nowAlipata ectopic?
Balaa sana, lile zoezi la ku-pull out lilishindwa vibaya sana, siyo kwa utamu uleKamwagia kwa ndani
Wazee wa kununua haya hayatuhusu, umefafanua vyemaNgoja nikusaidie.
Ana mpenz wake. Na wanaaminiana na huwa hawatumii Condom.
Ila mpenz wake huyo akapata mimba.
Na Jamaa hakuwa anajua, (hakuambiwa).
Bidada akapata complication za mimba ikabidi afanyiwe Operation.
Kwakuwa Bidada hakumwambia Jamaa kama ana mimba. Ni dhahiri atakuwa amemwambia mwanaume mwingne ambao ndiye mtia mimba. (Maana huwez fanya procedure kubwa hivyo bila kumwambia muhusika wa mimba).
Kiufupi, mpenz wake ana mpenz wake. Na ndio aliyetia mimba.
Bidada ana wapenz wawili na wote hawatumii Condom. Risk.
Aliwahi kuumwa magonjwa ya zinaa? PID nk?YES, INDEED alifanyiwa upasuaji wa dharura, yuko vizuri anaweza kuingia road now
sijui, ila tuvae condom, hayo ma STD ndiyo yanakimbiza mayai nje ya mrija?Aliwahi kuumwa magonjwa ya zinaa? PID nk?
Ongeza RAMaliyeelewa hapa please naomba ufafanuzi zaidi..
Mirija huziba yai haliwezi Pita,mbegu ikifanikiwa kupita na kulifikia yai basi mimba itatunga nje ya kizazi.sijui, ila tuvae condom, hayo ma STD ndiyo yanakimbiza mayai nje ya mrija?
Killing is killing.Complications za mimba:
●Ilitunga nje ya kizazi, thats deadly.
●Alifanya termination mimba ikiwa kubwa, hatari sana.
Raw is sweet though!!
Kwa taarifa zilizopo maambukizi yameongezeka hivi karibuni. Leo nimemsikia mkuu wa wilaya ya karatu akilizungumzia hili kwa wilaya yake. Kipekee amesisitiza halmashauri yake kuongeza mabango ya kampeni ya kujikinga na UKIMWI.Achana na UKIMWI
Nimeumia sana mpenzi wangu amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya complication za mimba
Yaani ata taarifa ya hiyo mimba nilikua sina
Tuvae condom, nasisitiza. SITAWAFUNDISHA TENA
Ww vidudu vyako vya ukimwi ni vikali hvy nikiingiza tuu kichwa nshaunguaUmeshindwa kuambukizwa na machokoraa wenzio huko mimi utaniweza? 😂
Ukiingiza kichwa wapi? yani uingize hiyo takataka yako kwangu!😱Ww vidudu vyako vya ukimwi ni vikali hvy nikiingiza tuu kichwa nshaungua
Kwan itakuwa mara ya kwanza?Ukiingiza kichwa wapi? yani uingize hiyo takataka yako kwangu!😱
Makota koya! utamfata mjombaako nyuma..we nitafutie ban!Kwan itakuwa mara ya kwanza?