MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,706
- 22,688
Complications za mimba na Condom vina uhusiano gani?
Nimesoma title na mada yenyewe zaidi ya mara 3 sijaelewa kitu.
Nimesoma title na mada yenyewe zaidi ya mara 3 sijaelewa kitu.
No ngori mkuu.ilaa ndege katibu 😂
Ushauvagaa ukimwi bila kujuaAchana na UKIMWI
Nimeumia sana mpenzi wangu amefanyiwa upasuaji kwa ajili ya complication za mimba
Yaani ata taarifa ya hiyo mimba nilikua sina
Tuvae condom, nasisitiza. SITAWAFUNDISHA TENA
Gen Z wanaita "Kufinyia kwa ndani"Kamwagia kwa ndani
HahahahaComplications za mimba na Condom vina uhusiano gani?
Nimesoma title na mada yenyewe zaidi ya mara 3 sijaelewa kitu.
Kachapiwa huyoaliyeelewa hapa please naomba ufafanuzi zaidi..
Duuh hapa nimeelewa sasa.Hahahaha
Yaani huyu anasisitiza watu kuvaa CD kuepuka UKIMWI AU MIMBA isiyotarajika maana yeye mpenzi wake mimba imemtoka na hali yakuwa alikuwa hajui kama mpenzi wake anamimba yeye alikuwa anamwaga tu.
Vitu vidogo kashindwa kujicontrol ndo anakuja kushauri watu leo habari za kondomDuuh hapa nimeelewa sasa.
So mtu na ‘mpenzi’ wake wamekubaliana kwa akili zao timamu waende kavu kavu, demu anajua kabisa yupo siku za hatari alafu mimba imepatikana mpenzi mmoja anaona ni surprise??!!
Any way Hivi vitu havihitaji akili nyingi
Complications za mimba na Condom vina uhusiano gani?
Nimesoma title na mada yenyewe zaidi ya mara 3 sijaelewa kitu.
Vipi tukikubali kuwa uzinzi ni dhambi na tukaendelea kufanya kama kawaida?Tukiwambia uzinzi ni dhambi mnasema sio dhambi. Uzinzi ni dhambi. Dhambi inaleta uharibifu. Chochote kinacholeta uharibifu ni dhambi.
Ukikubali kuwa uzinzi ni dhambi halafu ukaendelea kuufanya kama kawaida, unajenga maisha ya kuujua ukweli lakini kutembea kinyume na ukweli huo. Kadiri unavyoendelea, dhambi inaweza kuanza kuathiri maisha yako ya kimwili na ya kiroho.Vipi tukikubali kuwa uzinzi ni dhambi na tukaendelea kufanya kama kawaida?
Uharibifu ni nini
Umeamua tu arbitrary kunikabidhi ugonjwa nihangaike naoUshauvagaa ukimwi bila kujua
Hawa ndiyo wale wanahitaji kutikisa sana vichwa vyao kabla hawajavitumiaHatakufundisha tena soma kwa umakini
Una hoja ya msingi"Condom inapunguza utamu"
alisikika mzinzi mmoja
Minara wanafanya sana biasharaVijana wana kauli mbiu yao wanasema "wese jingi, friction kidogo"
😅😅Hawa ndiyo wale wanahitaji kutikisa sana vichwa vyao kabla hawajavitumia