tuungane kupinga uzazi unaotokana na infidelity

Sio wote wanaopata mimba katika mazingira ya infi wanakuwa walishajua kabla.
Wengine wanadanganywa sina mke, ooh mke amenitoroka, sijui nimemuacha... Unanyaka kitambi ukija kustuka kumbe jamaa lina mke na mitoto hata kumi
 
unao ushahidi wa tuhuma nzito kama hii?
 
Mimi naona funguo zote anazo mwanamke, kukataa kufanya mapenzi ni haki yake, na kukataa ni haki yake. japo kila kitu kikiongelewa tunaonekana tunamnyanyapa mwanamke. Zinge kuwa mimba zinapachikwa kwa njia ya hewa ningesema tunashida, lakini mtu anaombwa tena muda mrefu (hakuna mwanamke ukimwambia tufanye mapenzi atasema ndiyo second hiyihiyo, sijaona).

Kwa hiyo kina dada tulieni, hadi mtu atoe mahali yake, wazazi wajue, akuoe, hapo tutajua nani tumlaumu. lakini kusema sijui kondom, mara nini?? ni kudanganyana tuu. La maana taratibu zote zifuatwe ili uwe na ushahidi hata mahakamani.
 
Sio wote wanaopata mimba katika mazingira ya infi wanakuwa walishajua kabla.
Wengine wanadanganywa sina mke, ooh mke amenitoroka, sijui nimemuacha... Unanyaka kitambi ukija kustuka kumbe jamaa lina mke na mitoto hata kumi
Wewe utampaje mtu service wakati humjui?? Au ndoo upendo wa kisasa. Au ukisubiri atoe wale mbuzi kwa wazazi wako, mpate kibali cha dnoa kisheria, mtakufa. Wanaume raha yao ni kukimbiza , akipata kikombe cha maji kwa bahati, atafurahi lakini akisha geuka anakuchukia na unakuwa mzigo kwake.
 
sikia dear
mimi ninachosema swala la mtoto ni watu wawili...

swala la kusema mwanamke ndo anatakiwa azuie mimba wakati
wewe unapata starehe zako za kutoa mbegu zako ndani yake
si kubaliani nalo..

sikia kama unataka kwenda pekupeku ( hakikisha unatoa kabla maji hayakumwagika)
kama hilo ni gumu Condom ndo solution ...
na kwa nini kwanza usivae kama mtu si mkeo?

jibu lako hilo hapo unalo CONDOM..
unaua ndege wawili kwa jiwe moja..
au vipi...

MMM anti hapa sijakubali, uanjau nini??, Usimfungulie mtu geti, akae nje hadi alete wale mbuzi , na mpewe ile hati ya kuwa mpo huru kupractice mapenzi. Hapo akikukimbia sherianitambana. Kondom si salama sometimes,
 
Wewe utampaje mtu service wakati humjui?? Au ndoo upendo wa kisasa. Au ukisubiri atoe wale mbuzi kwa wazazi wako, mpate kibali cha dnoa kisheria, mtakufa. Wanaume raha yao ni kukimbiza , akipata kikombe cha maji kwa bahati, atafurahi lakini akisha geuka anakuchukia na unakuwa mzigo kwake.

sio unakuwa humjui. Tatizo nyie wanaume mnaweza kupretend hata karne nzima. Wapo watu yashawakuta hayo.
Hata kama ni mr wa watu inabidi ukibebe tu hicho kitambi hadi uzae.
 
sio unakuwa humjui. Tatizo nyie wanaume mnaweza kupretend hata karne nzima. Wapo watu yashawakuta hayo.
Hata kama ni mr wa watu inabidi ukibebe tu hicho kitambi hadi uzae.

Sasa Husninyo, mimi bado sio mshabiki sana wa mapenzi kabla ya ndoa. hata nafi yangu inanishtaki kufanya mapenzi na mtu ambaye sijapata kibali cha jamii kuwa mke wangu. Sasa huoni kama solution pekee ni kusubiri muoane , hata kama auatkueteleza unahaki ya kushtaki.

Wenzetu ulaya, mtoto ni wa mwanamke, na akisha zaa fedha za mshahara wa mwanaume lazima zipitie kwa mwanamke halafu mwanamke atakupa kidogo za kununulia fegi.
 
tuma haraka kabla laptop haijaisha chaji, ushahidi lazima uwe umekuhusu wewe binafsi, sio ulete ushahidi wa yule babu yako wa jana, kesi itakuwa haina nguvu. tuma kwenye ile e mail yangu yangu ya HIVnegative@hotmail.com

ha ha ha ha ha!
Nishakutumia ila si unajua tena na hizi foleni. We subiria tu.
Ushahidi sio wa babu huu.
 
Sio wote wanaopata mimba katika mazingira ya infi wanakuwa walishajua kabla.
Wengine wanadanganywa sina mke, ooh mke amenitoroka, sijui nimemuacha... Unanyaka kitambi ukija kustuka kumbe jamaa lina mke na mitoto hata kumi

kama rangu! Ira rinacare harijachange lol
 
Sasa Husninyo, mimi bado sio mshabiki sana wa mapenzi kabla ya ndoa. hata nafi yangu inanishtaki kufanya mapenzi na mtu ambaye sijapata kibali cha jamii kuwa mke wangu. .
hongera kwa hilo. Mapenzi nje ya ndoa nayo sio mazuri.
Kama umefanikiwa kujizua kuchakachua kabla hongera kwa hilo.
 
Mimi naona funguo zote anazo mwanamke, kukataa kufanya mapenzi ni haki yake, na kukataa ni haki yake. japo kila kitu kikiongelewa tunaonekana tunamnyanyapa mwanamke. Zinge kuwa mimba zinapachikwa kwa njia ya hewa ningesema tunashida, lakini mtu anaombwa tena muda mrefu (hakuna mwanamke ukimwambia tufanye mapenzi atasema ndiyo second hiyihiyo, sijaona).

Kwa hiyo kina dada tulieni, hadi mtu atoe mahali yake, wazazi wajue, akuoe, hapo tutajua nani tumlaumu. lakini kusema sijui kondom, mara nini?? ni kudanganyana tuu. La maana taratibu zote zifuatwe ili uwe na ushahidi hata mahakamani.

nyie ndo mna rungu kubwa msingetafta infi mkawa waaminifu kwa wake zenu yasinge tokea malawama yote haya.. Kaen mtulie majumbani kwenu muone kama tutawafuata huko, ndo solution pekee!
 
Yani humu ndani kina Da Sophy wanatamani kuninyonga kwa msimamo wangu wa kupinga aina hii ya uzazi. Narudia kusisitiza kuwa si haki hata kidogo kwa mwanamke kukusudia kumzaa mtoto katika mazingira ya infidelity, mnawakosea watoto haki zao kutokana na starehe zenu wenyewe huko, ni ubinafsi na ni ufisadi.

Una mfano wowote wa mwanamke aliyekususdia kuzaa mtoto katika mazingira ya infidelity?

Kama huna ushahidi, maana yake huna dataz, na kama huna dataz maana yake huu ni ***** na wewe ni *****
 
hongera kwa hilo. Mapenzi nje ya ndoa nayo sio mazuri.
Kama umefanikiwa kujizua kuchakachua kabla hongera kwa hilo.

Asante, japo ni wajibu wa kila mtu. Fikilia kama wanaume ndio wangekuwa mbele kupinga mapenzi nje ya ndoa, kutunza chumba (yaani hata binti ukimshawishi kivipi ni no hadi pete ivikwe), jamani si tungekuwa na dunia tamu kabisa.

lakini hata ninyi mnakawajibu kakutuelimisha, walau no mbili tatu , baadaye ni kibuti kwenda mbele. itasaidia. sasa hivi hadogo zetu wako secondary nao ni mapenzi tuu vichwani, mimba kila siku, lakini hakuna anayeshtuka, wazazi tutalea vijukuu visivyo na baba hata lini>??????
 
Back
Top Bottom